Wataalam wa Habanero Studios wamefanya kazi nzuri sana kuleta sloti ya video iitwayo Wicked Witch ikiwa inachangiwa na maajabu, uchawi na siri za mambo ya kimila. Gemu imepangiliwa katika giza la maajabu kukiwa na picha nzuri sana na njia zisizohesabika za namna ya kupata ushindi. Endapo unadhani kuwa mtu mbaya anaweza kukusaidia pekee, basi umekosea sana, kwa sababu kwa sasa una nafasi ya kushawishi aandae kinywaji cha furaha kwa ajili yako na ushinde bonasi!
Ulimwengu wa watu wabaya umefunikwa na maajabu ya giza na gemu nzima imejazwa na alama za aina fulani za mambo ya kichawi. Upande wa nyuma wa sloti hii ya video ni muinuko wa giza, kukiwa na mwezi mzima. Kwa upande mmoja kuna kisehemu kidogo cha mbao na kwenye upande mwingine kuna sehemu ya kuchemshia vitu ambapo kimiminika cha ajabu kinaweza kuonekana.
Miinuko yake yenyewe imejazwa na alama za pentagramu na alama zingine zilizopo pale.
Wicked Witch, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
Hii sloti ya video ya Wicked Witch imepangiliwa katika milolongo mitano kwenye safu tatu na mistari ishirini ya malipo kukiwa na kisehemu cha kuongoza upande wa milolongo ya chini. Kuna vitufe vya kuongoza kwa kuweka dau na kuanza kuzungusha. Alama za maajabu haya ya sloti zinaweza kugawanyika katika makundi mawili tofauti.
Kundi la kwanza la karata ni J, A, Q, K, 9, 10, kukiwa na kisehemu cha giza ambacho kitasaidia kujaza katika ulimwengu huo wa gemu. Kisha fuata alama za kwenye kitabu, mfagio, sehemu ya moto, paka mweusi. Kundi la pili linajumuisha alama mbili za mwisho za mchawi na kile kiitwacho cauldron. Alama ya mchawi ni alama ya wild na ikitumika vyema kunakuwa na ruhusa kwa wateja kushinda sana.
Alama ya mchawi inaweza kuchukua nafasi ya alama zingine zote lakini muunganiko wa alama kadhaa za wild witch zinaleta mafanikio pia. Sehemu ya kuchemshia ambayo ni ya maajabu ni alama ya scatter ya ukamilifu wa sloti ya Wicked Witch.
Wicked Witch – kusanya alama maalum na ushinde mizunguko ya bure ya ziada!
Ni alama gani ambayo inakiwasha kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni? Kitufe cha bonasi ambacho ni kizuri sana kwa upande wa mizunguko ya bure kinawashwa kwa alama ya scatter ya kisehemu cha kuchemshia. Unaipenda hivyo ilivyo? Inachukua alama tatu au zaidi za scatter katika kutokea kwa milolongo katika sehemu yoyote iliyopo. Kisha kuna mzunguko wa bonasi wa mizunguko sita ya bure ambao utaanza rasmi! Wakati wa mizunguko ya bure alama maalum kama vile chura, chupa yenye sumu, uyoga na jicho vinaongezeka katika milolongo, ambapo unaweza kuitumia kwa ajili ya ushindi na mizunguko ya bure ya nyongeza mpaka kufikia mizunguko 24 ya bure.
Ukielezea kwa kifupi kabisa ni kwamba ukusanyaji wa alama maalum unaipatia gemu za bure za ziada zipatazo sita.
Bonasi ya Bure Mtandaoni
Habari njema ni kwamba hii sloti ya video ya Wicked Witch pia inakuja na jakpoti ya muendelezo ambayo inaweza kuwashwa bila ya mpangilio maalum baada ya mzunguko wowote. Kwa haraka, ni kuwa uhakika (RTP) wa gemu hii ya kipekee ni 95.98%. Wicked Witch ni gemu yenye maajabu yake mahsusi na ina vionjo vyake vikubwa vinavyotoa ahadi ya ubora kwa wateja wake. Zama katika maajabu ya sloti hii ya kipekee, isiyo ya kawaida, upekee, burudani na maajabu unayohisi kwenye ushindi! Unaweza kuona hapa maelezo ya gemu zingine za kasino.
Slot games hii nimeipenda sana 👍
Maajabu na uchawi na kupiga hela
Slot ys kibabe
Yan siku hiz pesa zangu zinaishia kwenye slot mikeka tena bac
Yani mambo Ni Moto
Mambo ni mazuri sana
hii slot inaleta ushindi wa ajabu
Mnajua kutupa burudan kwakwel
Sloti nzuri sana htr
Yani pesa inapatikana kimaajabu tu
Bonge LA slot.