Dolphin’s Pearl Deluxe – Dolfini wanakuongoza kuelekea katika ushindi!

12
1982
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/green-tube-casino/108

Wale watengeneza gemu ambao wanafahamika sana duniani, Novomatic Greentube inawasilisha sloti kubwa ya video na yenye starehe sana – Dolphin’s Pearl Deluxe! Kwa wale wapenzi wote wa mazingira ya bahari. Hii Dolphin’s Pearl Deluxe ni sloti iliyojaa ushinni usiotarajiwa ukiwa na alama kubwa za bahari. Zama katika maji baharini ukiwa na dolfini, tafuta chaza na upate tunu! Gemu inakupeleka wewe kwenye kina kirefu cha maji katika bahari, ambako unaweza kuonana na viumbe hai wa kwenye maji hayo. Upande wa nyuma wa sloti hii ya video ambayo inapendeza sana kuna bahari ya bluu ambayo ina kina kirefu, na chini yake kuna uwakilishi wa viumbe wa kwenye maji kukiwa na mimea mingine.

Muonekano wake ni mzuri sana ukiwa na mtindo wa 3D. Sehemu ya kuongoza ipo chini ya sloti na inaruhusu wateja wawe wanarekebisha dau lao na kuanzisha gemu hii. Unapokuwa umepangilia mikeka yako unahitaji kubonyeza kitufe cha Spin na maajabu yataanzia hapo hapo. Kwa wale wateja wanaopenda miinuko ijiendeshe yenyewe, Novomatic wamekuja na suluhu ya jambo hilo kwa kuweka kitufe cha Autoplay!

Dolphin’s Pearl Deluxe – tafuta chaza na upate tunu! Sloti ya video ya Dolphin’s Pearl Deluxe ina mipangiloo mizuri sana katika milolongo mitano katika safu tatu na mistari 10 ya malipo. Ushindi katika sloti hii unatoka kushoto kwenda kulia isipokuwa kwa ile scatter. Viumbe wa kwenye maji, samaki wenye rangi, ni baadhi ya viumbe ambao wapo katika kukuonesha njia ya kwenda katika tunu unazozitaka.

Tunu unazozitaka zipo wazi kabisa na ni alama ya scatter ya sloti maarufu. Alama ya wild ni yenye starehe katika sloti ambamo ile dolfini inayotabasamu imo. Dolfini inatabasamu kwa sababu fulani, kwa sababu anakuwa na ushindi mara mbili na anaweza kubadilisha alama zote isipokuwa zile za scatter.

Dolphin’s Pearl Deluxe, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Wale watengeneza gemu ambao wanafahamika sana duniani, Novomatic Greentube inawasilisha sloti kubwa ya video na yenye starehe sana – Dolphin’s Pearl Deluxe! Kwa wale wapenzi wote wa mazingira ya bahari. Hii Dolphin’s Pearl Deluxe ni sloti iliyojaa ushinni usiotarajiwa ukiwa na alama kubwa za bahari. Zama katika maji baharini ukiwa na dolfini, tafuta chaza na upate tunu! Gemu inakupeleka wewe kwenye kina kirefu cha maji katika bahari, ambako unaweza kuonana na viumbe hai wa kwenye maji hayo. Upande wa nyuma wa sloti hii ya video ambayo inapendeza sana kuna bahari ya bluu ambayo ina kina kirefu, na chini yake kuna uwakilishi wa viumbe wa kwenye maji kukiwa na mimea mingine.  Muonekano wake ni mzuri sana ukiwa na mtindo wa 3D. Sehemu ya kuongoza ipo chini ya sloti na inaruhusu wateja wawe wanarekebisha dau lao na kuanzisha gemu hii. Unapokuwa umepangilia mikeka yako unahitaji kubonyeza kitufe cha Spin na maajabu yataanzia hapo hapo. Kwa wale wateja wanaopenda miinuko ijiendeshe yenyewe, Novomatic wamekuja na suluhu ya jambo hilo kwa kuweka kitufe cha Autoplay!  Dolphin’s Pearl Deluxe – tafuta chaza na upate tunu! Sloti ya video ya Dolphin’s Pearl Deluxe ina mipangiloo mizuri sana katika milolongo mitano katika safu tatu na mistari 10 ya malipo. Ushindi katika sloti hii unatoka kushoto kwenda kulia isipokuwa kwa ile scatter. Viumbe wa kwenye maji, samaki wenye rangi, ni baadhi ya viumbe ambao wapo katika kukuonesha njia ya kwenda katika tunu unazozitaka.  Tunu unazozitaka zipo wazi kabisa na ni alama ya scatter ya sloti maarufu. Alama ya wild ni yenye starehe katika sloti ambamo ile dolfini inayotabasamu imo. Dolfini inatabasamu kwa sababu fulani, kwa sababu anakuwa na ushindi mara mbili na anaweza kubadilisha alama zote isipokuwa zile za scatter.  Dolphin’s Pearl Deluxe, Bonasi ya Kasino Mtandaoni  Kinachowafurahisha sana ni namna ambavyo unashinda bonasi ya mizunguko ya bure. Bonasi ya mizunguko ya bure inawekwa wazi na tunu unazozihitaji zilizomo katika samaki aliyefunguka! Tayari imeshatajwa kuwa scatter wa tunu ni alama ya sloti hii nzuri ya baharini. Unapopata scatter tatu au zaidi unakuwa umewasha kitufe cha bonasi ya mizunguko ya bure!  Mara tu unapowasha bonasi ya mizunguko ya bure unapata mizunguko 15 ya bure ambapo ushindi wako unakuwa ni mara tatu! Ni muhimu kukumbuka kwamba unapata bonasi za mizunguko ya bure kwa mara nyingine! Kinachofurahisha zaidi na kuleta mafao zaidi! Dolfini anaonekana kuwa ni mamalia mwenye akili sana katika bahari, anatabasamu katika sloti hii na yupo katikka mudi nzuri, hasahasa katika muunganiko na tunu zilizopo. Pia, inaleta mudi nzuri kwa wateja ikizawadiwa ushindi mkubwa!  Ogelea kuelekea dunia ya chini ya maji ukiwa na sloti ya video ya Dolphin’s Pearl Deluxe kukiwa na bonasi ya juu sana! Kwa haraka haraka ni kuwa uhakika wa sloti hii maarufu ya video (RTP) ni 95.13%. unaweza kuona maelezo mafupi ya gemu za kasino nyinginezo kupitia hapa.

Kinachowafurahisha sana ni namna ambavyo unashinda bonasi ya mizunguko ya bure. Bonasi ya mizunguko ya bure inawekwa wazi na tunu unazozihitaji zilizomo katika samaki aliyefunguka! Tayari imeshatajwa kuwa scatter wa tunu ni alama ya sloti hii nzuri ya baharini. Unapopata scatter tatu au zaidi unakuwa umewasha kitufe cha bonasi ya mizunguko ya bure!

Mara tu unapowasha bonasi ya mizunguko ya bure unapata mizunguko 15 ya bure ambapo ushindi wako unakuwa ni mara tatu! Ni muhimu kukumbuka kwamba unapata bonasi za mizunguko ya bure kwa mara nyingine! Kinachofurahisha zaidi na kuleta mafao zaidi! Dolfini anaonekana kuwa ni mamalia mwenye akili sana katika bahari, anatabasamu katika sloti hii na yupo katikka mudi nzuri, hasahasa katika muunganiko na tunu zilizopo. Pia, inaleta mudi nzuri kwa wateja ikizawadiwa ushindi mkubwa!

Ogelea kuelekea dunia ya chini ya maji ukiwa na sloti ya video ya Dolphin’s Pearl Deluxe kukiwa na bonasi ya juu sana! Kwa haraka haraka ni kuwa uhakika wa sloti hii maarufu ya video (RTP) ni 95.13%. unaweza kuona maelezo mafupi ya gemu za kasino nyinginezo kupitia hapa.

12 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here