Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 4)

20
1550
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Bonus – Hii ni kitu cha bure, inaitwa hela isiyotoka. Kasino itakuzawadia pesa hii isiyotoka ukiwa mteja mpya au kuongeza mara mbili ya pesa uliyoweka kwa mara ya mwisho mtandaoni. Pia, endapo ukitimiza masharti na vigezo fulani unakuwa na haki ya kuipata hela hii na zaidi ukitimiza vigezo husika unaweza kuitoa kabisa.

Bonus Feature (bonus function) – Kitufe cha bonasi kitawaka endapo alama maalum za sehemu fulani zinaangukia katika mstari wa malipo. Ni maarufu kwa kitufe cha bonasi ili kukuzawadia wewe mizunguko ya bure.

Caribbean Stud – Hii ni aina maalum ya gemu ya mezani ambayo imetokana na poka ya mtandaoni. Upekee wa gemu hii ni kwamba ilichezwa kwenye meza ya Blackjack dhidi ya  dealers.

Cascading / Collapsing reels – Kitufe hiki kinaruhusu kuchukuliwa kwa nafasi za alama ambayo inaangukia katika upande wako kukiwa na alama mpya, maalum. Alama mpya zitaendelea kutokea katika safu kwa kadri ya utengenezaji wa miunganiko ya ushindi. Kitufe hiki kinaishia wakati wa alama mpya inayojaza sehemu zote za safu, au katika mrejeo wa kwanza ambapo haupati alama yako maalum.

Cash Back – Kasino inarudishwa kwa namna ya hela kamili ama kwa namna ya bonasi ambayo inarejeshwa kwako wewe mteja baada ya kupoteza kiwango fulani cha pesa wakati wa gemu. Mara nyingi kasino inaonekana kuwa na asilimia fulani ya kiwango kilicholiwa kwa wateja na kurejeshwa kwao kwa njia hii.

Itaendelea

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here