Tree of Gold – chagua tunda zuri la mti wa dhahabu!

17
1387
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/kalamba/KLM_TRG

Utaona kama pesa zinaota kwenye miti wakati ukitikisa na sarafu zikaanguka badala ya majani! Utafurahia sana kuicheza sloti ya Tree of Gold kutoka kwa wasambazaji waitwao Kalamba. Sloti hii ya video imejawa na alama za kutoka China ambazo zinahusiana na furaha na utajiri. Inawakilishwa katika milolongo sita na safu tano, mpangilio wake upo katika muundo wa 3-3-3-5-5-5. Pia, hiyo ina mistari 60 ya malipo.

Kutoka katika alama zinazotokea kuna taa za rangi mbalimali, sarafu za China ni isharaa ya furaha, dragoni, viwasha moto, samaki aina ya koi na alama zingine zilizotumika katika kusherehekea mwaka mpya huko China. Inafurahisha sana kuona kwamba malipo yanakwenda kila uelekeo, kutoka kushoto kwenda kulia na kutoka kulia kwenda kushoto.

Tree of Gold, Kalamba, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Tree of Gold, Kalamba

Jokeri anatokea kama alama ya kichwa cha dhahabu cha dragoni na kinatokea pale tu kwenye mlolongo wa pili na wa tatu. Anabadilisha alama zote isipokuwa ile ya bonasi – mti wa furaha. Wakati wa gemu kuu, jokeri anatokea bila ya mpangilio maalum na kujaza mlolongo katika kila mzunguko, wakati katika mizunguko ya bure anajaza milolongo mitatu.

Kila jokeri anaweza kuzidishwa kwa 1x, 2x, 3x na 5x. Wakati zile wildcards moja au zaidi zinakuwa ni sehemu ya muunganiko wa ushindi, malipo ya kila muunganiko wa ushindi unazidishwa kwa kizidisho kinachooneshwa katika wildcards hizo. Wakati wa mizunguko ya bure, ile isiyo katika mpangilio maalum inatokea pia.

Jokeri wasio katika mpangilio maalum.

Jokeri wawili wasio katika mpangilio maalum katika mlolongo wanaongeza mizunguko miwili ya bure, wakati jokeri watatu ambao hawapo katika mpangilio maalum wanakuwa na kazi katika mizunguko mitatu ya bure.

Bonasi

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/kalamba/KLM_TRG

Machaguo ya sloti ya Tree of Gold

Chaguo la Spins Bonus linatengenezwa wakati alama tatu za miti ya dhahabu ikiwa na sarafu inapatikana na inazawadiwa kukiwa na milolongo iliyojaa jokeri. Kisha unapata mizunguko 8 ya bure au zaidi. Kitufe cha Misions pia ni muhimu hapo. Lengo la chaguo hili ni kwamba alama moja au zaidi zinazawadiwa wakati wa mizunguko ya bure na kurushwa wakati kunapokosekana mizunguko zaidi katika hiyo Mission. Kuna ngazi nne za mission:

  • Bronzi
  • Silva
  • Dhahabu
  • Platinamu

Hizi zinaongeza mkeka wako wa mwanzo mpaka kufikia mara 1,000! Uhakika (RTP) wa sloti hii ni mkubwa ambao ni 96.14% ijaribu gemu hii ya sloti yenye viwango ambayo itakufanya urudi tena kuicheza.

17 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here