3 Genie Wishes – funga macho yako na uchague ushindi wako!

19
1527
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs50aladdin

Kila mtu ana hamu. Kubwa, ndogo, ngumu, rahisi. Kuna mengine hutokea, na mengine huhitaji muda kidogo. Kwa wale ambao wanataka burudani, wasambazaji wa gemu Pragmatic Play wapo hapa kukutimizia hilo mara moja na kukiwa na msaada wa taa ya maajabu inayoleta burudani kubwa ya maajabu katika muundo wa gemu ya sloti inayopendeza sana.

Inatimiza ndoto zako kukiwa na sloti ya 3 Genie Wishes na inakupatia wewe nafasi ya kuifikia taa ya maajabu na matamanio yanayopendeza! Sloti hii ina milolongo mitano na mistari 50 ya malipo, na alama zinazolipa zaidi ni mtu wa kutosha kutoka kwenye taa, ambayo ni alama ya wild, na bila shaka, ni taa yenyewe, ambayo ni alama ya scatter na inachagiza kitufe cha Bonus Free Spins! Alama ya scatter inatokea katika mlolongo wa kwanza, tatu na tano wa gemu kuu.

Zikitokea scatters tatu, unashinda matamanio yako!

3 Genie Wishes, Pragmatic Play, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs50aladdin

Alama tatu za scatter

Alama za scatter zinakuzawadia bonasi katika 3 Genie Wishes! Tangu uwashe gemu ya bonasi, fikiria kuhusu matamanio yako na uone nini kinawezekana kwa gemu hii ya bonasi kukupatia wewe. Wakati kitufe kikiwa kimezinduliwa unakuwa na chaguo la kuchagua moja kati ya ofa tatu ambazo zinakupatia moja kati ya uwezekano mara nne wa kushinda!

Unaweza kuwa una hamu ya ofa hizi hapa: 3 Genie Wishes, Pragmatic Play, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Chaguo la kwanza kuchagua ni bonasi ya mizunguko ya bure, yaani Raining Wilds na Sticky Wilds. Wakati wa kitufe cha bonasi ya mizunguko ya bure, unakuwa na chaguo la kuchagua moja kati ya machaguo yafuatayo – Raining Wilds ukiwa na mizunguko 10 ya bure na Sticky Wilds kukiwa na mizunguko 6 ya bure.

Ofa ya pili ni Bigger Prize, ambapo inamaanisha kwamba ushindi wa papo kwa hapo unaongezeka kutoka 10 hadi 500 zaidi ya dau lako! Ofa ya tatu ni Small Prize, ambayo inamaanisha kuongezeka kwa ushindi kwa 1x. Chagua matamanio yako kwa busara, na sloti ya 3 Genie Wishes itakuzawadia wewe na kukuburudisha sana.

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs50aladdin

Unachagua nini? Jibu ni rahisi sana. Chochote unachochagua, hakika utafurahia sana gemu zote na kushinda!

3 Genie Wishes – uhondo wa maajabu unaofurahisha sana.

Unaweza kutazama hapa maelezo mafupi ya sloti za video, na endapo unakuwa unapenda sloti zote za mtandaoni, unaweza kufanya hivyo kwa kubonyeza hapa.

19 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here