Mighty Kong anakupeleka wewe kwenye msitu wa hatari wa Afrika!

19
1586
Kong

Hamu ya kupata uhondo itakufanya ufike kwenye sloti ya Mighty Kong iliyozalishwa na Pragmatic Play. Hadithi ya nyani mkubwa King Kong bado inavutia watu wengi sana. Hivyo, hii sloti inakupa uhondo wa King Kong na mishe mishe zake. Matukio ya sloti hii yanaanzia pale katika pori la huko Afrika, kukiwa na muungurumo wa maji yanayomwagika kutoka milimani.

Muonekano wake wa picha ni mkubwa sana na unameremeta, utazama akili yako yote humo wakati ukiangalia mazingira halisi ya maeneo husika wakati ukiwa unaicheza gemu hii ya sloti. Muziki unakusaidia kufurahia zaidi na zaidi kwako wewe kama mteja.

Kuanzia kwenye alama, tunakutana na kepteni ambaye anaendesha meli, msichana mzuri, mtafiti, kiongozi wa utafiti, wanaanza kutengeneza ushindi mkubwa punde si punde. Alama za malipo ya chini kabisa ni karata 10, ace, king, queen na ile ya gendarme. Malipo yanaenda kutoka kushoto hadi kulia. Sloti inajumuisha milolongo mitano na safu tatu na mistari ya malipo 50 na haibadiliki na inakupatia wewe mshangao zaidi na kuongeza nafasi ya kushinda.

Alama ya jokeri ni bomba sana na inakuja kwetu katika mfumo wa karata ambayo inasema Wild. Anabadilisha alama zote na anafanya kazi kama jokeri, na wakati akiwa anatokea katika mlolongo wa tatu, anasambaa hadi katika mlolongo mwingine.

Mighty Kong, Pragmatic Play, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Mighty Kong, Pragmatic Play

Kong

Gemu nne za bonasi za sloti za Mighty Kong

Scatter inawakilishwa kwa uhusika wa King Kong na endapo inatokea mara tatu wakati wa mizunguko ya bure inaleta uwezekano wa kushinda mizunguko mipya ya bure. Alama tatu au zaidi za scatter zinazindua mzunguko wa mizunguko ya bure. Kisha uwezekano wa kupiga idadi ya mizunguko na njia nne za kuzidisha zinafunguka:

  • Mizunguko 40 ya bure na kizidisho cha 1x
  • Mizunguko 13 ya bure na kizidisho cha 3x
  • Mizunguko 8 ya bure na kizidisho cha 5x
  • Mizunguko 5 ya bure na kizidisho cha 8x

Mighty Kong, Pragmatic Play, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Kong

Mighty Kong, Pragmatic Play

Endapo unapenda mizunguko yako izunguke bila ya msaada wako unaweza kuseti kwa kubonyeza kitufe cha Autoplay, na itakuonesha wewe idadi ya “autospins” ziwezekanazo kutokea. Pia, kuna uwezekano wa kusimamisha endapo kiwango cha pesa kimepungua au kuongezeka kwa kiwango ambacho tumekikadiria na kusimamisha baada ya kupokea bonasi.

Uhakika (RTP) wa gemu hii ni mkubwa ambao ni 96.64%. ukiunganisha muonekano wake mzuri sana na muziki unaopendeza sana, sloti ya Mighty Kong inakuhakikishia furaha kwako wewe mteja ambaye hauogopi kuingia katika sehemu isiyofahamika vyema na kujionesha katika hatari zilizopo katika msitu mnene.

19 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here