Empress of the Jade Sword – huyo Mfalme wa Kike anakuzawadia bonasi!

12
1468
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Wasambazaji maarufu wa sloti zenye viwango, Microgaming, wanaleta sloti ya video ambayo inapendeza sana iitwayo Empress of the Jade Sword! Sloti hii ya kipekee sana imetokana na dhamira ya China, katika bustani yenye amani sana, ambako malkia mkuu wa jade sword anaongoza gemu. Sloti ya Empress of the Jade Sword inazungukwa na vitufe vya bonasi, vitufe vya mizunguko ya bure, vizidisho, wildcards zenye thamani kubwa sana, hivyo, kwa kuongezea ni kuwa utafurahia sana hii gemu, unaweza pia kupata malipo makubwa mno.

Upande wa nyuma wa gemu hii nzuri ya sloti ya video kuna bustani yenye amani sanaย  ikiwa na matunda aina ya cherry. Fremu ya sloti imepambwa kwa dhahabu ikiwa na kichwa cha dragoni mwishoni, na katikati kumejazwa na alama nzuri za muonekano wa kipekee mno.

Empress of the Jade Sword, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Sloti hii ya video inayopendeza sana ya Empress of the Jade Sword imepangiliwa katika milolongo mitano katika safu tatu na mistari ishirini ya malipo. Alama ambayo ni kifaa cha kutamani pia katika sloti hii ni ile jade sword. Sababu ni rahisi, ile jade sword ni alama ya wild! Alama ya wild inaipa kazi kwa mzunguko mmoja wa bure wakati ikitokea katika mstari wa malipo na kubakia sehemu ile ile wakati wa mizunguko ya bure.

Alama yoyote ambayo ipo kati karibia na alama ya wild sword jade katika mizunguko ya bure itabadilishwa kuwa katika alama ya wild. Namna gani ya kuwasha kitufe cha bonasi ya mizunguko ya bure?

Kitufe cha bonasi ya mizunguko ya bure kinawashwa wakati unapopokea alama tatu au zaidi za scatter za hekalu la Kichina. Alama tatu za scatter zitakuzawadia wewe mteja mizunguko nane ya bure. Alama nne za scatter za hekalu zuri la Kichina zinakuzawadia mizunguko ya bure ipatayo kumi na mbili. Wateja ambao wanapata alama tano za scatter wanaweza kutegemea kushinda zaidi na zaidi mpaka kufikia bonasi ya mizunguko 20 ya bure!

Wakati wa mizunguko hii ya bure unaweza kushinda hazina halisi ambayo ni ya kiwango kidogo ukiwa na taa ya kijani ya jade! Empress of the Jade Sword โ€“ nunua bonasi!

Kitufe kingine cha kupendeza sana cha bonasi kinatokea katika sloti hii, na hicho ni “Pick up bonus”! alama tatu za bonasi zinahitajika katika kuwasha gemu kwa “Pick a Bonus”, ambapo mteja analazimika kuchagua kutoka katika idadi kadhaa ya maninja. Kisha ninja anayechaguliwa anakuwa anazawadia fedha taslimu ama kizidisho, na katika namna yoyote ile ushindi unakuwa ni uhakika kabisa. Wakati gemu ya bonasi ikiwa imeisha, zawadi zote za fedha taslimu zinaongezeka.

Endapo kizidisho kinashindaniwa, fedha taslimu inazidishwa kwa thamani ya kizidisho kwa kiwango cha mwisho cha zawadi. Pia, unaweza kutumia chaguo la kubashiri, au chaguo la ile dice, ili kufanya ushindi wako uwe ni mara mbili yake. Gundua maajabu ya jade huko Uchina na tamaduni zao na ushinde hazina ya kushangaza sana ukiwa na sloti nzuri ya makia wa jade sword! Uhakika (RTP) wa gemu hii ya kasino ni 95.21%. Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za kasino kupitia hapa.

12 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here