Mystic Secrets – Gundua siri ya kumshawishi mwanamke!

11
1560
Mystic Secrets

Sloti ya Mystic Secrets ni sloti ya video inayoletwa na Novomatic Interactive Greentube. Sloti ina muunganiko maridadi kabisa wenye milolongo mitano katika safu tatu zikiwa na mistari 10 ya malipo. Upande wa nyuma wa sloti hii ya video ambayo inaburudisha sana ni msitu mzuri wenye maajabu ukiwa na miti yenye rangi. Kwa mbali, kuna majengo mazuri makubwa yaliyozungukwa na kuta ambazo zinaonekana vyema kabisa. Fremu ya sloti hii imetengenezwa kwa mapambo yenye alama nzuri ndani yake.

Kupitia gemu hii ya kufurahisha utaweza kuongezwa kwa alama za karata za kifalme, kisha alama za mshumaa, kijana wa kiume, msichana mzuri sana, kikombe cha kinywaji na kuna alama ya kitabu cha kusadikika. Chini kuna kisehemu cha kuongoza kikiwa na sehemu ya kuseti dau na kuseti mizunguko. Kuna ufunguo wa A katika ubao uliopo yaani Autoplay ambayo unaweza kuibadili kwa urahisi sana na kufurahia mizunguko inayojizungusha yenyewe.

Mystic Secrets – inakuletea bonasi ya kusadikika! Habari njema ni kuwa unasaidiwa na kijana mwenye nguvu katika kumshawishi msichana ambaye ameuteka moyo wake na kushinda pesa!

Unaweza kushinda zawadi taslimu kwa kutafuta vifaa mbalimbali kama vile glasi ya mvinyo, mishumaa, cheti cha ndoa. Pia, unaweza kupata msichana mbichi kabisa aliyepo pale, na pia kukutana na baba wa mwanamke ambaye pia anaweza kuwa anajua siri zote za kushawishi.

Mystic Secrets
Mystic Secrets

Alama ya baba wa mwanamke ni alama ya wild. Alama ya wild ni alama muhimu sana kwa sababu inabadilisha alama zote zingine, hivyo kutengeneza nafasi kubwa ya miunganiko ya ushindi.

Alama pekee ambayo jokeri hawezi kubadilishiwa nafasi yake ni ile alama ya scatter. Alama ya scatter ni sloti ya Mystic Secrets ambayo pia ni alama ya kitabu. Utataka kupata vitabu ambavyo vitakupatia kitufe cha mizunguko ya bure! Alama tatu au zaidi za kitabu zinakupatia zawadi ya mizunguko 10 ya bure ikiwa imeungana na bonasi ya kusadikika ambayo ipo!

Mizunguko ya bure inaweza kushindaniwa tena wakati wa kionjo cha mizunguko ya bure! Ushindi wote ambao unalipwa unakuwa umetokea upande wa kushoto kwenda upande wa kulia isipokuwa ushindi wa scatter, ambazo hazijafungamana na sehemu ya kwenye mstari.

Sloti ya Mystic Secrets ina chaguo la kubetia ambalo linampa nafasi mteja kufanya ushindi wake uwe ni mara mbili.

Novomatic, ikiwa na sloti ya Mystic Secrets, inatuhakikishia kwamba inaweza kuingia katika siri za kumshawishi mwanamke na kuwa naye mkapata furaha pamoja.

Kitufe cha mizunguko ya bure kikiwa na bonasi ya kusadikika kinaleta raha ya aina yake na kufurahia sana gemu hii. Maelezo ya gemu za sloti za video yanapatikana hapa.

11 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here