European Roulette – sikia raha na ugumu wa gemu!

20
1906
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/habanero/EURoulette

Roulette ni moja ya gemu za kasino ambayo ni maarufu sana na inaburudisha mno. Roulette ni gemu rahisi lakini ni ya aina fulani, maalum na iliyo na muelekeo mwema. Uzoefu wa wateja unasema kwamba ni raha inayopendeza sana wakati ukiwa unakisia namba ambayo ni yako! Kuna aina nyingi za ruleti na sasa wazalishaji waitwao Habanero wanakuletea wewe European Roulette. Neno ruleti limetafsiriwa kutoka katika lugha ya Kifaransa ambapo inamaanisha kuwa ni gurudumu na utamu wake katika gemu hii unangojea kwenye namba ambazo lile gurudumu litageukia.

Hii European Roulette inajumuisha gurudumu la ruleti, mpira na meza, yaani kibao katika sehemu ambayo mikeka itawekwa pale. Lengo la gemu hii inayofurahisha sana ni kukisia namba au kundi la namba ambapo ule mpira utadondokea. Katika alama ya ruleti ambako kuna namba 36 na sifuri, jumla ya visehemu vipatavyo 37. Namba zimepangiliwa katika utofauti, zinabadilishana kuwa ni nyeusi na nyekundu, ni sifuri pekee ambayo ni kijani.

Namna ya kuicheza hii European Roulette? Kwanza unatakiwa kuchagua namba ya kwenye kisehemu kwa ajili ya kuweka mikeka. Mara tu unapoweka mkeka wako unaweza kubonyeza katika kisehemu kilichoanzishwa ili kuongeza dau la mkeka wako. Kuna kitufe cha “undo” ambapo unaweza kukata mkeka ulioubetia mara ya kwanza wakati sehemu ya “clear bets” inaondoa mikeka yote ambayo umeilipia.

Acha turudi katika gemu yenyewe na namna ya kuipangilia. European Roulette – aina ya upangiliaji. Kuna aina tatu za mikeka ya ruleti iliyotajwa kwa majina ya Inside Bets au Internal Bets, na zinakuwa zinahusika katika visehemu vyenye namba zilizo mezani. Ile ya Internal Bets inajumuisha kubetia katika namba moja pekee inayoitwa kwa jina la “Straight Up“, mkeka ambao unaleta uwezekano wa malipo makubwa!

Wateja wanachagua kucheza kwa aina ya kipekee katika aina ya mkeka ambao tunauita “head“, “prey“, “number“. Utakavyoamua kuiita, ni kuwa kukisia namba sahihi ni kipaji lakini pia inahitajika kuwa na bahati. Baada ya hayo, tunakuwa na mkeka ambao unabetia nusu ya namba (split), mkeka kwenye namba tatu, namba nne na mkeka kwenye namba sita tofauti. Furahia kuweka mikeka yako. Kisha kuna Outside Bets au External Bets ambazo zinahusika katika visehemu vya nje yake kwenye meza.

Nini ni visehemu vya nje katika meza ambayo wateja wanaweza kubetia? Hizo ni safu ambapo wateja wanaweza kubetia kwenye namba 12 ambazo ni za safu ile ile.

Kisha, wanaweza kubetia kwenye sehemu ya Low, au namba za chini, au sehemu ya High, ambako wateja wanaweza kubetia kwenye namba 18 za juu. Viunganishi vya nje ni mikeka ya rangi, wateja wanabetia kuwa huenda mpira ukasimamia kwenye namba ya rangi nyekundu au nyeusi. Kiunganishi kingine cha nje ni mkeka ambao unabetia namba witiri ama shufwa. Na aina ya tano ya mikeka ya nje ni dazani yaani ya tatu ambako wateja wanachagua wabetie katika mikeka ya kwanza, pili au tatu kati ya zile namba 12.

Aina ya tatu ya mikeka ya ruleti inatajwa kuwa ni mikeka au inaitwa kwa jina la Called Bets. Haya ni madau kwa sekta husika, yaani kundi la namba ambazo unaweza kuwekea hapo. Kuna milolongo mikubwa, milolongo midogo, gemu ya sifuri au “narrow eye zero“, nyingine inaitwa orphanel na namba ambazo zinakinzana.

European Roulette

Kuna machaguo ya tofauti kwa ajili ya kubetia ruleti, kubeti ni rahisi sana, lakini gemu inaburudisha na inatoa mafao makubwa sana. Ukifuata mtiririko wa mpira kwenye sehemu husika na kushangilia ushindi wakati ambapo inasimama katika sehemu ambayo mteja amebetia mkeka wake kwa namna aliyoipenda yeye.

Habanero wanaweka wazi kuwa uhakika wa gemu hii (RTP) ni kati ya 97.30% na 98.65%. kama ambavyo unaweza kuhitimisha, ruleti ni gemu ya kuburudisha, inaleta hamasa sana na imejawa na hamasa kubwa, na ni chaguo lako kubetia mikeka yako na kufurahia burudani ya msisimko wa gemu nzuri!

Maelezo ya gemu zingine za ruleti yapo hapa.

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here