The Kingdom of the Sun inakuletea Misri ya kale mikononi mwako!

17
1403
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/play-son-provider/kingdom_of_the_sun2

Ancient Egypt ilikuwa ni ujamaa maarufu wa huko Northeast Africa, ambao ulifikia kilele chake katika New Kingdom, wakati wakitawala Numibia na huko Middle East. Ule mto Nile ni alama ya maisha ya watu wa kale wa Misri ambao wanategemea maji yake. Wamisri waligundua mbinu mpya za ujenzi ambazo zilipelekea ujenzi wa mahekalu na mapiramidi. Kwa kuongezea, waligundua mifumo mikubwa ya mahesabu, njia mpya za matibabu na mbinu za uzalishaji wa mazao ya kilimo.

Pia, Ancient Egypt ilifahamika kama “The Kingdom of the Sun” na katika sloti hii mpya ya video ya The Kingdom of the Sun: Golden Age inawakilishwa na watengenezaji wa gemu waitwao “Playson”. Utakuwa na bahati wakati unacheza sloti hii na kuingiliana na mapigano bora yanayofikiwa na Wamisri wa kale, fanya maamuzi mwenyewe!

The Kingdom of the Sun: Golden Age, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Bonasi za Kasino Mtandaoni

Kingdom of the Sun: Golden Age ni sloti ya video yenye milolongo mitano na mistari kumi na tano ya malipo. Kionjo cha bonasi kinapatikana kwa wepesi na kinakusaidia wewe kuufikia ushindi mkubwa. Alama ya bonasi inatokea katika mlolongo wa kwanza na unawasha kitufe cha bonasi. Wakati wa kitufe hiki, alama inabakia katika sehemu yake.

Alama zote ambazo zinakuwa zimehusika na bonasi zitakuwa zimebadilishwa kuwa katika alama za bonasi, kitufe kitadumu hadi kwa kadri ya mabadiliko ambayo yanakuwepo. Ndani ya jambo hilo, alama za bonasi zitabadilika kuwa jokeri kabla ya malipo ya ushindi unaokuwepo.

Ukiwa na Kingdom of the Sun, unashinda hadi mara 500 zaidi! Kuna kionjo kingine kikubwa katika sloti hii, Sun Compass, ambayo inawasha wakati wa alama zinazoangukia katika milolongo. Mshale unakuwa unazunguka katika milolongo ambayo haisimami bila ya mpangilio maalum. Alama za chini zilizopo katika uelekeo huo zitabadilishwa na kuwa katika malipo makubwa zaidi!

Endapo ukiziba milolongo yote ikiwa na alama moja au alama ya wild, unaweza kushinda hadi mara 500 ya mkeka wako!

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/play-son-provider/kingdom_of_the_sun2

The Kingdom of the Sun: Golden Age

Alama za malipo ya chini zaidi ni alama bora za karata. Alama zinazolipa kwa wastani ni zile za kuzunguka pale, nyoka na ndege wa dhahabu. Juu yake utaona kuna farao na Cleopatra. Alama ya wild ina nembo ya “wild” na ni alama inayolipa sana na inabadilisha alama zote.

Nguzo kubwa inawakilishwa mbele ya milolongo na sarafu za dhahabu zinasambaa katika eneo la chini yake. Milolongo imejazwa na picha nzuri sana upande wa nyuma, na rangi za wazi wazi kabisa zinakupa utamu sana katika sloti hii ya video.

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/play-son-provider/kingdom_of_the_sun2

Kingdom of the Sun: Golden Age inakupelekea wewe hadi kwenye siku zile za neema kubwa wakati wa Misri ya kale na inakupatia ofa ya bonasi kubwa sana ambazo zinaweza kupatikana tena. Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni 95.29%. furahia muda wako ukiwa unacheza “Kingdom of the Sun“!

Safari kwenda kule Nile Valley na urudi ukiwa na ushindi mkubwa sana! Unaweza kusoma maelezo ya gemu maarufu hapa.

17 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here