Crazy Horses – mbio za kwenda kwenye jakpoti isiyo ya kawaida!

14
1768
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/mbgames/crazy_horses

Crazy Horses ni gemu ya mtindo wa aina yake katika ulimwengu wa kasino. Inakuja ikiwa imetoka kwa watengeneza gemu waitwao Expanse na imegubikwa na urahisi sana na unafuu wa kuicheza. Ingawa ni gemu ya kasino ya mtandaoni ambayo haina hali ya kuzoeleka, kitu ambacho ni cha kawaida kwa hapa ni namna ya kuicheza. Lakini acha tuanzie katika mwanzo wake.

Kinachoitofautisha gemu hii ya Crazy Horses ni muonekano unaopendeza sana, dhamira za rangi na urahisi wa kuonekana wa gemu hii. Mara tu unapoingia katika gemu hii, unaweza kugundua uwepo wa farasi sita ambao wapo pale wakiwa wamesimama katika sehemu ya kukimbilia, ambayo imezunguka na wigo hapo ilipo.

Farasi hawa wamesimama katika sehemu ya kukimbilia na wanasubiri wewe uweke mikeka yako katika mmoja wapo wa farasi hao. Wazo la hapa ni kukisia farasi yupi ambaye atakuwa wa kwanza kufikia lengo husika la gemu hiyo.

Crazy Horses, Expanse, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Crazy Horses, Expanse
Crazy Horses, Expanse

Cha tofauti kwa marafiki wetu hawa wazuri ni kiwango cha kufanya kazi cha kila ufanyaji kazi wa kila kimojawapo. Inatoka kule juu hadi chini, ikiwa na mabadiliko ya odds zake. Hivyo, odds za kwanza ni 36, kisha 18, 3, 10, 2, na odds za nje, yaani ya mwisho ni ya juu sana mpaka kufikia 70!

Crazy Horses – inaseti mikeka, unabeti na kukisia mshindi. Unaweza kuchagua urefu wa kila moja iliyopo katika mkeka mmoja mmoja na kubetia katika farasi mmoja ama wote waliopo. Unaweza kuseti sehemu za kufikia katika kibao, upande wa kulia, katika sehemu ya kujumlisha au kutoa kwenye kitufe husika.

Wakati ukiwa umemaliza kuseti dau lako, chagua farasi unaotaka kuwabetia, au zaidi ya hayo. Pia, kuna chaguo la kubetia moja kwa moja na ijichezeshe yenyewe, na vile vile kuna chaguo la kufanya mikeka iwe inajirudia rudia katika kubetia. Baada ya hayo, unachotakiwa kukifanya ni kubonyeza katika alama ya silaha, ambayo ipo katika sehemu ya upande wa kulia, katikati, kisha mbio zinaanza hapo na tunapata mshindi katika sekunde chache.

Wakati farasi anapokatiza mstari wa kumalizia mbio, ushindi unakuwa umepigiwa hesabu.

Crazy Horses, Expanse, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Crazy Horses, Expanse
Crazy Horses, Expanse

Na, endapo bado haujashawishika na maelezo hayo mpaka sasa, basi kwa sasa itakushawishi kwa hakika kabisa. Gemu hii tamu inakupatia jakpoti! Kwa kuongezea ni kwamba uhakika wa gemu hii ni 97% yaani RTP, tunadhani kwamba hii ni sababu kubwa ya kujiunga nayo. Muziki ambao unaburudisha sana utakupa raha wewe wakati unaitazama katika hali zisizo na mwisho pale farasi wakiwa wanaendelea na mambo yao na inatengeneza ushindani mkubwa zaidi mpaka pale mojawapo inapofikia mstari wa kumaliza mbio hizo.

Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za kipengele hiki kupitia hapa.

14 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here