Chicago Gangsters – sloti inayoweza kukupatia jakpoti!

2
1113
Chicago Gangsters, Grand Jackpot, Jokers, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Tunakuletea gemu bomba sana, dhamira yake ambayo itakufanya uheme kwa raha. Sloti mpya ya video kutoka kwa watengeneza gemu wanaoitwa Playson wanafika wakiwa na dhamira ya mafia wa kule Chicago nyakati za miaka ya 1930 na wakati wa kipindi cha Prohibition – Chicago Gangsters. Mashabiki wa Al Capone hebu ijaribuni hii gemu nzuri sana!

Chicago Gangsters, Grand Jackpot, Jokers, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
Chicago Gangsters, Grand Jackpot, Jokers, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Chicago Gangsters Chicago Gangsters ina milolongo mitano na mistari 20 ya malipo.

Kitufe cha bonasi cha sloti hii kinakupa wewe mizunguko mingine na uwezo wa kushinda mpaka mara 1,000 ya ushindi wako. Alama za sloti hii ni alama bomba sana za karata A, J na K, lakini pia sigara, magari ya kifahari, wahusika waitwao Bonnie na Clyde…

Alama ya mji ni jokeri wa gemu hii na anabadilisha alama zote isipokuwa zile za scatter. Pale ambapo jokeri watano wanatokea katika mstari wa malipo watakulipa wewe mara kumi ya ushindi wako. Kuna alama ya maajabu ambayo inatokea bila ya mpangilio maalum katika gemu ya kwanza. Wakati inatokea inachukua nafasi ya alama zote zilizokuwa bila ya mpangilio ambazo zilichaguliwa kwenye alama kwenda katika muunganiko wa ziada unaokuwepo pale.

Alama ya muhimu zaidi ni alama iliyo na nembo ya bonasi na ni scatter ya gemu hii. Endapo alama sita za aina hii au zaidi zinatokea katika mlolongo, utazindua chaguo la mzunguko wa bonasi. Utapata mizunguko mingine mitatu ikiwa na alama zote za bonasi ambazo zipo wakati huo kwenye mlolongo. Kila alama ya bonasi ya ziada inaweza kutokea kukiwa na thamani za mpaka mara 24 zaidi ya dau lako uliloweka.

Kwa kuongezea, kuna alama ndogo ya bonasi, ambayo inachagiza jakpoti ndogo ambayo ni mara 30 zaidi ya dau lako. Alama kuu ya bonasi inaweza pia kutokea na kukupa wewe mara 150 ya malipo ya mkeka wako. Shinda mpaka mara 1,000 zaidi ukiwa na Chicago Gangsters na jakpoti yake kubwa zaidi!

Endapo ukiweza kujaza sehemu kumi na tano zenye alama za bonasi utapokea jakpoti kubwa kabisa ambayo ni mara 1,000 ya dau lako na vile vile kukawa na ushindi wowote ambao tayari umepatikana. Wakati wa kitufe hiki unaweza kushinda mpaka mara 1,353 ya ushindi wako!

Chicago Gangsters, Jakpoti Kubwa Kabisa, mizunguko ya bure mtandaoni
Chicago Gangsters, Jakpoti Kubwa Kabisa, mizunguko ya bure mtandaoni

Bonasi ya Kasino Mtandaoni Jakpoti Kubwa Kabisa

Muundo wa sloti hii upo katika usawa ambao unaweza kufikika na rekodi za sauti ni nzuri sana. Endapo wewe ni shabiki wa gemu na muvi za magengistaa basi ni hakika kuwa utaipenda sana hii sloti. Bonasi zinapendeza sana hivyo usisubiri sana, kimbia na Chicago Gangsters!

Maelezo ya sloti zingine za video yanaweza kupatikana hapa.

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here