Book of Oz Lock ‘N Spin – sloti ambayo inakupa ushindi wa hadithi za kale!

2
1093
Book of Oz Lock 'N Spin inaleta maajabu nyumbani kwako! Anza kucheza gemu hii ushinde zawadi nzuri!

Haijalishi umri, kila mtu anafurahia hadithi za zamani. Kila mtu anapenda hamasa, maajabu na mshangao ambao kila hadithi ya zamani inauleta. Kwa sababu hizi, moja ya gemu maarufu sana ni ile ambayo ina dhamira ya hadithi za kale. Ile Book of Oz Lock ‘N Spin ni moja ya gemu hizo ambapo siku zote inavutia umakini na kuleta burudani sana. Inatokakana na hadithi maarufu ya The Wizard of Oz, gemu nyingine ya hadithi za kale imefika katika masoko yetu hapa.

Book of Oz Lock ‘N Spin ni mfululizo wa sloti maarufu sana za Book of Oz. Sloti hii inakuja kwako ikiwa imetoka kwa watengenezaji wa gemu wanaoitwa Microgaming na inajmuisha vionjo kadha wa kadha kulinganisha na vile vya toleo la kwanza. Kukiwa na kitufe cha Lock ‘n Spin unaweza kuseti upya yaani kuweka loki ya mpaka milolongo minne ili kuufikia ule muunganiko wa ushindi. Pia, kuna chaguo la mzunguko wa bure ambapo unaweza kubadilisha alama maalum na kufikia ushindi mkubwa sana.

Book of Oz Lock ‘N Spin, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, gemu ya hadithi za kale, kitabu cha maajabu

Book of Oz Lock ‘N Spin
Book of Oz Lock ‘N Spin

Katika mlolongo unaweza kuona alama za karata za A, K, Q na J, sehemu tatu tofauti za ajabu na vile vile kuna mwanaume mwenye kofia.

Mhusika huyu ni mwenye utajiri sana, akiwa na muunganiko wa mbili, tatu, nne au tano, ambapo unaweza kupata mara moja, kumi, mia mia tano ya ushindi wa dau lako la mwanzo. Alama ya wild ni ile ya The book of Oz na inabadilisha alama zote. Kionjo cha The Lock ‘n Spin kinaruhusu ufunge milolongo minne ya chaguo lako.

Kila mlolongo ambao unakugharimu kiasi fulani cha pesa, kilichoandikwa katika sehemu ya chini kwenye kona ya kushoto ya mlolongo huo. Kitufe hiki kinafanya kazi kwa umakini endapo unakuwa na vitabu viwili vyenye alama ya Oz na unahitaji chaguo moja lingine ili kuiendesha ile hali inayopeleka kwenye umuhimu wa pale.

Kuna mizunguko zaidi ya 50 ya bure mtandaoni katika hii Book of Oz Lock ‘N Spin pekee! Kwa kuongezea kuna alama ya wild, pia the book Oz ni alama ya scatter ya gemu hii. Unaweza kupandisha mizunguko ya bure hapa endapo alama tatu za scatter, nne au tano zinaangukia katika mlolongo wako.

Kwa kuongezea, utapokea zawadi za pesa taslimu ambazo zitakuwa ni mbili, ishirini au mia mbili zaidi ya dau lako. Kama vile mizunguko kumi, kumi na mbili na ishirini na tano inategemea na idadi ya scatters unazopata. Wakati mizunguko ya bure ya mtandaoni ikiwa inazinduliwa utapokea alama zilizochaguliwa bila ya mpangilio ambapo zitajaza mlolongo wote ambao unatokea pale. Chaguo la pili linakupa wewe nafasi ya kuweka nafasi ya alama maalum na kujaribu kuiboresha.

Book of Oz Lock ‘N Spin
Book of Oz Lock ‘N Spin

Mwisho, wakati wa mizunguko ya bure mtandaoni, unaweza kuendesha kitufe cha mizunguko ya bure endapo scatters zako zinatokea tena katika mlolongo uliopo, na hivyo unaweza kupata mpaka mizunguko 50 ya bure mtandaoni. Kuna mara 5,000 zaidi ya dau lako!

Sloti hii ya video inakupa wewe nafasi ya kushinda mpaka mara 5,000 ya ushindi kutegemea na mkeka wako, chukua nafasi hii na uzungushe mizunguko ya bure inayokupatia nafasi ya kuongeza ushindi wako pia wakati milolongo inajazwa kwa thamani kubwa ya alama endapo ikichaguliwa kuwa alama maalum.

Shinda hadithi ya kale! Book of Oz Lock ‘N Spin, Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni, kitabu kikubwa, shinda mpaka mara 5,000 zaidi ukiwa na mizunguko ya bure

Hapa unaweza kuona maelezo ya sloti zingine ambazo tunazo.

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here