African Simba – safari yenye uhondo wenye bonasi nyingi sana!

1
1198
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/green-tube-casino/302

Masuala ya safari na Afrika yamekuwa ni mawazo mazuri siku zote. Hakuna mtu ambaye hapendi kutembelea sehemu hizo nzuri sana za dunia yetu. Na kwa sasa kukiwa na msaada mkubwa wa gemu ya African Simba inakuwa ni rahisi sana kufanikiwa katika jambo hilo. Uhondo mkubwa wa safari unakungoja wewe, ingia safarini ukiwa nasi!

Chungulia mbuga za Afrika ukiwa na sloti mpya ya video ya African Simba ambayo inakuja kwetu kutoka kwa Novomatic wakishirikiana na studio za Green Tube. Sloti hii ya video ina milolongo mitano ikiwa na mistari 243 ya malipo. Namna nzuri ya kutengeneza pesa nyingi kwa hapa ni mzunguko wa bonasi ambao unakuja ukiwa na mizunguko 12 ya bure na ushindi wote wakati wa mzunguko huu unawekwa kwa kizidisho cha tatu.

African Simba, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, safari, simba, twiga, nyati

African Simba, Novomatic, Green Tube
African Simba, Novomatic, Green Tube

Kuhusiana na alama za gemu hii ujue tu kwamba kuna: flamingo, nguchiro, vifaru na twiga. Hawa wanaungana pia na alama za kawaida za karata.

Simba mkubwa ni alama ya jokeri ya gemu hii anayebadilisha alama zote isipokuwa ile ya scatter. African Simba – anawasha mizunguko ya bure mtandaoni na kukupatia kizidisho cha mara tatu! Alama ya mlima ni scatter ya gemu hii. Inaweza kutokea katika milolongo yote mitano. Na pia mizungko ya bure mtandaoni itawashwa hapa endapo alama hizi tatu zinatokea katika mlolongo.

Unapowasha chaguo hili utapata mizunguko 12 ya bure. Wakati wa bonasi ya mzunguko unaweza pia kupata kizidisho cha tatu ambacho kitafanya ushindi wako uwe ni mara tatu kutoka kwenye muunganiko wowote wa ushindi. Endapo ukipata alama za scatter zipatazo tatu au zaidi katika mzunguko wa mlolongo wakati wa bonasi ya mzunguko utapata tena mizunguko 12 ya bure kama zawadi kwako.

Alama za sloti hii ni nzuri sana na zipo pamoja na picha zingine nzuri zitakazoleta muunganiko wa ushindi. Sauti ya muziki ni nzuri na inakufaa sana lakini sauti za Kiafrika wakati unapotengeneza faida zinaburudisha sana. Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video umewekwa kuwa ni 95.5%, na pia sloti hii ina kitufe cha kucheza kamari. Endapo wewe ni shabiki wa Afrika, safari na wanyama basi usikose kuburudika katika raha kubwa ambayo inakungoja wewe!

Jiingize katika safari bomba ya Kiafrika!

Maelezo ya sloti zingine za video yanaweza kuonekana hapa.

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here