Ancient Fortunes Zeus – sloti mpya ikiwa na dhamira ya Ugiriki!

7
1509
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/ancientFortunesZeusDesktop

Mambo ya kusadikika ya Ugiriki ya kale yamekuwa ni chanzo kikuu cha kutungwa kwa muvi, gemu, na tamthilia nyingi duniani. Sloti mpya ya video inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa wazalishaji wa gemu waitwao Microgaming wanaohusika na mada hii pekee! Ijaribu Ancient Fortunes Zeus, panda kilele cha Olympus na ulale usingizi! Kutana na miungu wa Ugiriki, Zeus, Poseidon, Aris na wengineo

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/ancientFortunesZeusDesktop

Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Sloti hii ya video ina milolongo mitano ikiwa na mistari kumi ya malipo. Ancient Fortunes Zeus ina chaguo la “Rolling Reels” au, kama wanavyosema wao, milolongo inapangiliwa katika mawimbi. Mistari inalipwa kwa kila uelekeo. Endapo unatengeneza muunganiko wa ushindi, alama za ushindi zitakuwa zimeondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na alama mpya ili kujaribu kuendeleza mlolongo wa ushindi.

Ancient Fortunes Zeus inaleta vizidisho kadha wa kadha! Juu ya milolongo utaona kibao kikiwa na vizidisho. Kizidisho kitaongezeka kwa kila muunganiko wa mfullizo wa ushindi. Wakati wa mizunguko ya bure mtandaoni, vizidisho vitakuwa juu zaidi. Vizidisho ambavyo unaweza kushinda wakati wa gemu kuu ni mara moja yake, mara mbili yake, mara tatu yake na mara saba yake.

Wakati wa chaguo la mizunguko ya bure mtandaoni vizidisho vinakuwa kama ifuatavyo:

  • Mara tatu,
  • Mara saba,
  • Mara kumi na moja, na
  • Mara ishirini na moja.

Ancient Fortunes Zeus, mizunguko ya bure mtandaoni

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/ancientFortunesZeusDesktop

Bonasi ya kasino mtandaoni

Bonais ya Kasino Mtandaoni

Alama zenye nembo ya radi ni scatter za gemu hii. Endapo unapata alama hizo tatu au zaidi katika milolongo, utapata mizunguko ya bure kumi, kumi na tano au ishirini mtandaoni kwa kutegemea ni scatters ngapi ambazo zimetokea katika milolongo. Scatters za ziada wakati wa chaguo hili zitakupatia mizunguko ya bure ya ziada.

Jokeri wa sloti hii ana nembo ya Zeus. Anabadilisha alama zote, isipokuwa zile za scatter, na kutengeneza miunganiko ya ushindi. Pia, jokeri tatu au zaidi zitatengeneza miunganiko yake ya ushindi. Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni mkubwa ambao ni 96.02% na itakupatia wewe nafasi ya kutengeneza ushindi mkubwa!

Ancient Fortunes Zeus ni sloti kubwa ya video ambayo inalipa sana na inazingatia kila kitu kinachoipasa. Kwa kuiangalia, sloti hii inaonekana ni ya ajabu na sauti zake zinavutia mno. Muonekano wake ni bora na umefanyika hivi karibuni. Cheza hii Ancient Fortunes Zeus na ushinde zaidi ya mara 1399 kwa dau lako! Furahia ushirikaino wa Greek Gods on Olympus! Maelezo ya kifupi ya kuhusu gemu zingine za sloti za video yanapatikana hapa.

7 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here