Arctic Magic – maajabu ya arctic yasiyozuilika!

6
1330
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino

Wasambazaji wa gemu zenye kiwango kizuri sana kwa upande wa kasino, Microgaming wanakuchukua na kukupeleka katika nchi ya maajabu ya msimu wa baridi kukiwa na sloti ya Arctic Magic! Uhondo wa hali ya asili ya huko Arctic na kushinda zaidi ya mara 3,333 ya dau lako! Maajabu ya North Pole yanakuacha ukiwa wa tofauti sana, gemu inapendeza mno na hakika itakuachia kumbukumbu nzuri sana katika kila mtu anayeshiriki mchezoni kwa sababu ina dhamira inayopendeza na kwa sababu ya vionjo vingine vyote vya gemu ambavyo vinaifanya iwe ni ya kufurahisha sana na kamilifu kabisa.

Muonekano wake wa picha za sloti hii ni mchanganyiko wa retro na mambo yajayo. Upande wa nyuma ni majira ya baridi yenye maajabu yakiwa na milima mizuri iliyojazzwa na barafu. Chini ya sloti kuna vitufe kwa ajili ya kuwekea mikeka na kuanzisha mzunguko, na kwa wateja ambao wanapenda kuangalia mizunguko katika njia yake yenyewe, kitufe cha autoplay kinapatikana.

Arctic Magic – ingia karika maajabu na ufanye ushindi wako uwe ni mara tatu!

Arctic Magic ni sloti ya video ambayo mpangilio wake una milolongo mitano na safu tatu pamoja na mistari tisa ya malipo. Uhsindi wa sloti unahesabika kwa kufananisha alama mbili hadi tano katika mstari kutoka kushoto hadi kulia. Alama ni karata za kifalme kutoka 9 hadi A, zikiwa na alama za sungura wa majira ya baridi, mbweha mwenye barafu, na wale wanyama aina ya polar bears. Nyota wa gemu hii ni alama ya wild inayowakilishwa na nembo ya sloti ikiwa na milima iliyojaa barafu zilizoganda kwa upande wa nyuma.

Alama ya wild inachukua nafasi ya alama zote za kawaida isipokuwa alama ya scatter. Kila ushindi ukiwa na jokeri ni wa kufanya uwe mara mbili yake. Hivyo, inakuwa ina thamani sana kuona alama ya wild katika milolongo.

Arctic Magic, Bonasi za Kasino Mtandaoni

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino

Kinachowapendeza wanaofuatilia gemu hii ni kitufe cha bonasi katika mizunguko ya bure. Mizunguko ya bure inawashwa wakati alama tatu au zaidi za scatter zinapotokea katika mlolongo kwa wakati mmoja. Alama ya scatter ya sloti nzuri ya Arctic Magic ni ile ice flake. Mabarafu matatu au zaidi ambayo ni alama za scatter zinazawadiwa kukiwa na mizunguko 15 ya bure.

Wakati wa kitufe cha mizunguko ya bure ya bonasi na ushindi unakuwa ni mara tatu! Bonasi ya mizunguko ya bure zinaweza kuanzishwa tena ili kuongeza ushindi wako. Inatamanisha, au siyo?

Sloti ya video ya Arctic Magic inaleta uhondo wa nguvu za asili kukiwa na muonekano mzuri sana. Kwa suala la kuhusu uhakika (RTP) wa sloti ni 96.10% na inapatikana kwa vifaa vyote. Endapo siku zote unataka kutembelea kule Arctic na kufurahia eneo la barafu na baridi kali basi hawa Microgaming wamekupatia nafasi hiyo kupitia gemu ya Arctic Magic!

Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za kasino hapa.

6 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here