Siku zote gemu za sloti zimekuwa ni maarufu sana katika kutoa burudani, ambapo, kwa kuongezea, inaleta raha kubwa, pia inaleta nafasi kwa wateja kuweza kupata pesa. Muunganiko makini sana. Dhamira inayofurahisha ni moja ya vitu vya muhimu sana katika gemu yoyote na hiki hasa ndicho ambacho kinaifanya gemu ya 3 Kingdoms Battle of Red Cliffs kuwa ya kupendeza mno.
3 Kingdoms Battle of Red Cliffs, bonasi ya kasino mtandaoni
3 Kingdoms Battle of Red Cliffs
Dhamira ya huko Asia, muonekano usio na kifani na vitu vingine kadha wa kadha vinaifanya gemu hii kuwa kamilifu mno. 3 Kingdoms Battle of Red Cliffs ni sloti ya video ambayo inakuja ikiwa imetoka kwa watengeneza gemu waitwao Pragmatic Play. China imegawanyika katika falme tatu na zote zina watawala wake ambao wapo tayari kupigana wao kwa wao ili tu waoneshe nguvu zao, na majeshi yao yanakusanyika. Wanaporumbana, unapata alama na zinakupatia wewe ukaribu wa kuifikia hela kubwa ya ushindi!
Alama zote za gemu hii zinawakilishwa na mionekano mitano ya picha zinazohama hama. Alama inayolipa kwa kiwango cha chini zaidi ni alama za karata bomba. Alama ambazo zinalipa zaidi ni upanga, ngao, unyoya, helmeti, meli na watawala watatu.
Alama ya hekalu la Kichina ni gemu ya scatter, na bendera nyekundu katika upepo ni gemu ya jokeri. The Battle of the Red Cliffs ni tukio la kweli la kihistoria. Lilitokea wakati wa mapigano ya falme tatu huko China mwaka 208 AD. Imepangiliwa katika bahari za Kichina, na meli zimeandaliwa kwa ajili ya vita. 3 Kingdoms Battle of Red Cliffs inaleta vita vya falme tatu!
Juu ya sehemu ya kuchezea gemu kuna alama zinazoonekana ambazo ni 0 mpaka 40, alama arobaini zinawasha chaguo la “Spoils of War“. Utachagua kutoka katika vizidisho vya ushindi mara nane ambavyo vipo kati ya mara mbili hadi mara mia. Endapo alama za scatters zipatazo mbili au zaidi zinaangukia katika muinuko wako utaanzisha vita ukiwa pale kwa red cliff. Scatters zinaweza kuangukia katika muinuko wako wa kwanza, tatu na tano. Mwanzoni mwa mzunguko huu unaweza kuchagua moja kati ya vitu vitatu:
Mtawala mwekundu anakuwa ni jokeri katika milolongo miwili, mitatu, minne na mitano na anakupatia wewe mizunguko ishirini ya bure mtandaoni.
Watawala wa kijani na mwekundu wanakuwa ni alama za wilds katika milolongo miwili, mitatu, minne au mitano na wanakupatia wewe mizunguko mitano ya bure mtandaoni.
Ya tatu, ni kuwa, vita yenyewe! Wakati scatters tatu au zaidi zinapoangukia tena wakati wa chaguo hili inaweza kuwasha tena mizunguko ya bure mtandaoni.
3 Kingdoms Battle of Red Cliffs, bonasi ya kasino mtandaoni
Jokeri ni umbo la bendera nyekundu na inabadilisha alama zote isipokuwa zile za scatter, inatengeneza miunganiko ya ushindi ikiwa nayo, pia inakuwa na miunganiko yake yenyewe kutoka katika alama zake zenyewe tu.
Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni mkubwa ambao ni 96.5%. zindua sloti hii ya mtandaoni inayopendeza sana na hautakuwa mbali na Asia ndani ya muda mfupi sana! Kuwa mshindi katika vita ya falme tatu na uwe mtawala wa ufalme wa kale!
Kila la heri! Maelezo ya kuhusu gemu zingine za sloti yapo hapa.
Meridianbet michezo kama yote#meridianbettz
Slot games nzur sana 👍
Mpo vizuri mnamichezo mingi sana
Hii game nzur
Kingdom sloti safi
Burudani kama zotee
Iko vizuri.