Aladdins Treasure – hamasa kutoka taa ya maajabu inaleta raha

21
1661
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs50amt

Hadithi za kale zimekuwa ni maarufu sana nyakati zote na zinavutia sana watu wengi na kuwateka akili zao. Bila ya kujalisha masuala ya umri, kila mtu anafurahia hadithi za kale au angalau vile baadhi ya vionjo vyake. Kuna kitu katika maajabu na usadifu wa aina hiyo ambapo siku zote inaingiliana na watu wengi. Gemu mpya ya hadithi za kale ikiwa imetoka kwa wasambazaji wa gemu waitwao Pragmatic play inakuja kwetu.

Kung’uta taa ya maajabu na zawadi za hadithi za kale ambazo zinakungojea wewe! Aladdins Treasure ni sloti ya video yenye milolongo mitano na mistari hamsini ya malipo!

Aladdin’s Treasure, bonasi ya kasino mtandaoni, kasino ya Balkan

Aladdins Treasure

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs50amt

Angalia uwepo wa kitufe cha bnoasi ambapo unaweza kushinda zaidi ya mara 52.5 ya dau lako. Kwa hakika, kivutio kikubwa cha gemu hii ni mizunguko ya bure mtandaoni ambapo unaweza kupata mpaka mizunguko mia moja ya bure mtandaoni na kufanya zawadi hizo ziwe ni mara mbili yake!

Unadhani taa ya maajabu italeta utajiri?

Ijaribu sasa na uone mwenyewe!

Upande wa nyuma wa sloti hii umetengenezwa kwa uhalisia wa eneo la Uarabuni, kukiwa na makapeti, vile vitu vya globes na vingine vingi sana. Miinuko yake pia imetengenezwa kwa utashi mkubwa sana na kupambwa vyema. Na alama za Kartak zinaonekana vizuri zaidi. Kwa zile alama zingine, kuna wahusika wa kiume na wa kike wengi sana, vile vile kuna kiumbe anayetisha ambaye ni wa kawaida kutoka kwenye taa na bila shaka Aladdin! Alama yenye thamani kubwa ni Aladdin. Katika gemu hii unahitaji alama za aina moja zipatazo tatu ili uufikie muunganiko wa ushindi.

Upanga ni alama ya jokeri wa gemu hii na inabadilisha alama zingine zote isipokuwa bonasi na scatter. Funguo ni alama ya bonasi ya gemu hii.

Unahitajika kuzipata tatu au zaidi ili uwashe kitufe hicho. Funguo tatu zitakupatia wewe kati ya mara 3 na mara 10.5 zaidi ya dau lako kwenye mkeka, funguo nne zitakupatia wewe kati ya mara 9 na mara 31.5, na tano zitakupatia kati ya mara 15 na mara 52.5 zaidi ya dau lako kwenye mkeka wako uliobeti.

Hii Aladdins Treasure inakupatia fursa ya kushinda mpaka mizunguko 100 ya bure mtandaoni! Scatters tatu au zaidi zitawasha kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni. Scatters tatu zitakupatia wewe mizunguko kumi na tano ya bure mtandaoni. Haijalishi ni mizunguko mingapi unaipata wakati wa kitufe hiki, malipo yote yanahusiana na kizidisho cha mbili, yaani yatakuwa mara mbili!

Wakati wa kitufe hiki, endapo scatters tatu au zaidi zinaangukia kwako tena, utaanzisha tena kitufe hiki. Inawezekana kabisa kuwasha kitufe cha bonasi.

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs50amt

Bonasi, bonasi ya kasino mtandaoni, Aladdin’s Treasure

Aladdins Treasure ni moja kati ya sloti za Pragmatic play ambazo zimeundwa vyema sana. Rangi zake ni bomba na zinapata msaada wa nyimbo za Kiarabu. Endapo kunakuwa na hamu ya kuichezesha, kuna nafasi kubwa kwamba utashinda malipo makubwa. Gemu hii itakuburudisha sana na kukufanya ufurahie muda wako unaopita.

Kila la heri! Unaweza kutazama maelezo ya sloti zingine za video hapa.

21 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here