Endapo unasaka burudani na raha ambayo haina ukomo basi umefika sehemu sahihi, tunakuletea wewe hii sloti ya video ya Sharky ambapo siku zote Greentube and Novomatic wanaleta idadi kubwa ya gemu zinazoburudisha kwa kiwango kikubwa sana. Wakati huu sasa wanakuletea gemu ambayo itakupeleka wewe kule kwenye uhondo wa raha. Dhamira kubwa, bonasi ya mizunguko ya bure na furaha ya aina yake; hivyo ni vitu ambavyo vimo katika gemu hii.
Ogelea kuelekea katika meli ya haramia na uone hazina zilizopo pale katika sloti ya video ya Sharky! Unaweza kugeuza ndoto za haramia katika uhalisia na kujiingiza katika uhondo ambao una kina kirefu cha bahari katika kusaka hazina kwenye sloti hii ya video.
Angalia uwepo wa papa. Sloti ina milolongo mitano na mistari tisa ya malipo, uzuri wake katika gemu hii ni bonasi ya mizunguko ya bure.., ambapo haramia anaogelea kuelekea katika milolongo na kuwa jokeri. Sehemu za hazina zinaweza kukuonesha ushindi ambao ni mpaka mara 50 ya mkeka wako. Inaleta hamasa, au siyo?
Sharky, Novomatic, Greentube, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
Sharky, Novomatic, Greentube
Scatters tatu za gemu ya Sharky
Acha tuzame katika mahusiano na alama: sabers, kasuku, meli za haramia, sehemu za hazina … haramia mwenyewe ni alama ya kutengeneza pesa. Kuna alama tatu za scatter: dira, meli na kisiwa. Meli na kisiwa zinatumika katika kuwasha mizunguko ya bure iliyopo, na kwa sasa haramia ni jokeri. Pale meli inapotokea katika mlolongo wa kwanza, haramia anashuka hadi majini katika boti ndogo na kuanza kupiga makasia kwenda kwenye mlolongo wa tano ambako kisiwa kinatokea na mizunguko 10 ya bure inazawadiwa mtandaoni.
Kitu pekee ambacho haramia anahitaji kuwa makini nacho ni kwamba wale papa hawawezi kutokea kwa sababu wanaweza kuila. Kwa hakika, sehemu za hazina zinaweza kutokea wakati ukiwa unaelekea kwenye njia na mapato yake ni makubwa!
Watengenezaji, Novomatic and Greentube wameonesha sloti ya Sharky ni bomba sana na siku zote inaburudisha. Hii Sharky ni gemu ambayo itakupekeka wewe katika safari nzuri sana na kukuletea mizunguko ya bure ya kutosheleza.
Unaweza kuona maelezo ya sloti zingine za video kupitia hapa. Endapo unafurahishwa na ofa zetu zingine za sloti zote, unaweza kuangalia kwa kubonyeza hapa, na endapo una wasiwasi juu ya suala lolote basi angalia hii kamusi ya kasino.
good
Balaa zitoo
Slot iko poa sana 👍
Piga hela jiunge na meridian
Duuh
Inapendeza
Pesa nje nje ndan ya casino!!
Meridian pesa kama zote
Inapendeza sana
spin ya kibabe
Kumekucha nilazima leo nipate mpunga
Slot Ni mchezo mzuri
Meridianbet vitu vyenu vya ukweli
Good
Safiii
Siwezi kosa hii slot.