Action ops Snow & Sable – furahia ukiwa na sloti ya mambo yajayo

18
1389
Action ops Snow & Sable

Karibu kwenye dunia ijayo iliyojaa mashujaa wa kike ambao ni hodari na magari yanayokwenda kasi. Rukia katika gari lako la kifahari sana na uone endapo shujaa wako wa kike atakusaidia wewe katika kuongeza salio la akaunti yako! Inatoka kwa wasambazaji wa gemu wanaoitwa Microgaming wakiwa wameshirikiana na studio za Tripple Edge, sloti ya video ya kuhusu mambo yanayokuja inayoitwa Action ops Snow & Sable.

Action ops Snow & Sable, bonasi ya kasino mtandaoni

Action ops Snow & Sable

Action ops Snow & Sable

Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari kumi ya malipo. Mashujaa wakuu wawili ni wahusika wakuu wa kwenye gemu hii, pia, wanawakilisha alama za wild za gemu hii. Mmoja amevaa mavazi meupe, mwingine amevaa suti nyeusi. Kila mmoja hapo atachukua nafasi ya alama zingine katika kutengeneza muunganiko wa ushindi.

Hakuna anayeweza kuchukua nafasi ya scatter na alama za mashujaa wengine. Scatter inawakilishwa kwa nembo ya Snow & Sable. Kwa kuongezea juu ya haya, tunazo alama zenye teknolojia kubwa sana, maroboti, alama za saa, magari, miwani ya jua. Pia, tuna alama bomba za karata na ni alama zenye malipo madogo zaidi. Wakati wa kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni, milolongo ya kwanza na ya tano inatolewa kwa zile wildcards ambazo zitabadilisha kila mzunguko.

Jokeri mmoja atachukua nafasi ya muinuko wote. Mizunguko ya bure mtandaoni itazinduliwa kwa kitufe chake wakati ukipokea alama za scatter zipatazo tatu, nne au tano, ambazo zitakuzawadia mizunguko ya bure ipatayo kumi, kumi na tano au ishirini. Endapo ukipata alama za scatters mbili au tatu wakati wa kitufe hiki utazawadiwa mizunguko mitano au kumi ya bure mtandaoni.

Ukiachana na mizunguko ya bure, pale unapopata scatters tatu au zaidi, pia, unapokea zawadi ambazo zinatofautiana kutoka mara mbili hadi mara mia moja ya dau lako kwenye mkeka.

Action ops Snow & Sable – jokeri anakupatia zaidi ya mara 100!

Alama yoyote kati ya zile mbili za wild zilizopo katika muunganiko wa ushindi zinaweza kukupatia hadi mara mia ya dau la kwenye mkeka wako. Muunganiko wa jokeri wote unaweza kulipa hadi mara hamsini ya dau lako. Kwa kuunganisha alama ya gari unaweza kupata mpaka mizunguko ishirini na tano ya bure mtandaoni wakati alama ya roboti inakuletea malipo hadi mara kumi na mbili ya dau lako.

Miwani ya jua inakuzawadia wewe mara nane ya dau lako. Sloti hii ya video inaonekana katika jiji la Aurora, na kwa hakika wahusika wote ni wa kusadikika tu, siyo halisia. Muziki unaburudisha sana kukiwa na dhamira ya mambo yajayo yenye maajabu makubwa na ni hasahasa kwa kukuburudisha wakati unapokea muunganiko wa ushindi.

Wakati wa kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni, muziki unakwenda mbali zaidi ya hili jambo, inataja jina la wahusika wakati inatengeneza muunganiko wa ushindi. Ijaribu sloti hii, tunakuahidi kuwa utaburidika kwa hakika kabisa. Katika gemu hii kuna zawadi nyingi sana. Endapo unapenda matukio na hadithi za upelelezi, basi hii ni gemu maalum kwa ajili yako.

Endapo upo katika mudi ya kupigana na wahalifu basi Action ops Snow & Sable ni nafasi yao ya kushinda sana! Endapo haujaelewa baadhi ya masharti, kuna kamusi yetu ya kasino inayoelezea mambo yote hapa.

18 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here