Krampus Kasino | Pata Mara X10,000 Ya Dau Lako!!

0
80

Tunakuletea mchezo mwingine ambao unakamilisha kikundi cha michezo ya kasino isiyokuwa ya kawaida. Je, ulikosa scratchers? Ikiwa ndivyo, sasa utakutana na mmoja wa michezo kama hiyo ambayo utaweza kukuletea mara 10,000 zaidi ya dau lako la kubetia.

Krampus ni mchezo wa kasino usio wa kawaida ulioandaliwa na mtoa huduma SpinMatic . Mchezo huu wa kasino ni rahisi sana, unachohitajika kufanya ni kugwangua, na ushindi mnono unaweza kuwa wako. Usikose furaha ya shangwe za kasino mtandaoni.

Ikiwa unataka kufahamu zaidi kuhusu mchezo huu, tunakusihi usome sehemu inayofuata ya makala hii, ambapo utapata muhtasari wa mchezo wa Krampus . Tumegawanya hakiki ya mchezo huu katika vipande kadhaa:

New Casino Games | Online New Casino Games
Krampus
  • Kwanza kabisa, kuhusu scratchers
  • Jinsi faida inavyohesabiwa
  • Kiwango cha malipo ya Krampus
  • Muundo na athari za sauti

Kuhusu kadi za kuchuna na mandhari ya mchezo

Linapokuja suala la mandhari ya mchezo huu wa kasino, utaona anti-hero wa likizo za Mwaka Mpya, Krampus . Kulingana na hadithi za kale, kiumbe huyu ni kinyume na Father Krismasi na huadhibu kila mtu ambaye hakutenda mazuri katika mwaka uliopita.

Kuna idadi kadhaa za filamu zenye mada za kutisha kama hii. Kazi yako ni kutumia makucha ya Krampus kugwangua uso wa kadi wenye zawadi zilizofichwa.

Uso wa kadi hio wenyewe una umbo la zawadi, na chini yake kuna furaha itokanayo na zawadi zenye kiwango cha juu cha ushindi.

New casino game | Casino bonus games
Mchezo Wa Krampus

Unapokwangua kadi ya mchezo huu, chini ya nafasi za mchezo huu, utakaribishwa na nambari zinazowakilisha ushindi unaowezekana, lakini pia ishara ya jiwe la thamani linaloleta malipo makubwa.

Jinsi faida inavyohesabiwa?

Mchezo huu wa kasino umewekwa katika safu tatu, na pia kuna nguzo tatu, kwa hivyo ni chini ya idadi inayopatikana katika michezo ya sloti. Kila wakati unapocheza utapewa alama tisa ambazo zina umbo la namba au mawe ya thamani.

Lengo la mchezo ni kwamba alama tatu zinazofanana zitaonekana miongoni mwa alama tisa hizi, na kisha utapokea malipo.

Ikiwa unapata ushindi mara nyingi kwenye spin moja, utapewa malipo kwa mchanganyiko wenye thamani ya juu.

Unaweza kuzungusha kama ilivyo kawaida kwenye michezo ya sloti, lakini pia unaweza  kukwangua kwa makucha ya Krampus .

Ikiwa unataka kujua matokeo ya mchezo huu polepole, vuta mkono wa kiumbe huyu na mouse mpaka kwenye sehemu ya settings.

Kwa kubonyeza kitufe cha Buy kinaanzisha mchezo na baada ya hapo unaweza kuanza kukwangua. Ikiwa unataka kujua matokeo ya mchezo mara moja, itakubidi ubonyeze eneo linalosema Scratch All.

Mchezo mpya wa kasino | Michezo mipya kasino | Bonasi za kasino
Muungano wa Ushindi

Pia Krampus ina kipengele cha Kucheza kiautomatiki kinachoweza kuamshwa kwa kubonyeza eneo lenye alama ya Rewind . Kupitia chaguo hili unaweza kuweka idadi ya mizunguko isiyo na kikomo.

Pia unaweza kuweka mipaka juu ya faida iliyopatikana na hasara iliyosababishwa wakati wa kutumia chaguo hili.

Kiwango cha malipo ya Krampus

Tunapozungumza juu ya alama za mchezo huu, miongoni mwao utaona takwimu zinazuleta malipo ya kawaida na alama ya jiwe la thamani inayoletea malipo ya juu.

Malipo ya ushindi katika mchezo huu wa kasino ni kama ifuatavyo: 0.5 , 1 , 2 , 5 , 10 , 50 , 100 , 250 , 500 , 1,000 , 2,500 , 5,000 na 10,000 mara dau lako la kubetia.

Malipo yote isipokuwa moja ya mwisho yanawakilishwa na takwimu zilizotajwa.

Pindi alama tatu za mawe meusi zinaonekanapo kwenye nguzo, utajishindia malipo ya juu mpaka mara 10,000 zaidi ya dau lako la kubetia.

Gemu mpya kasino mtandaoni
Ushindi Mnono

Kila kitu ni wazi kwako, unachohitaji kufanya ni kucheza mchezo wa Krampus kwenye kasino bora nchini Tanzania , huku ushindi mnono ukikusubiri.

Muundo Wa Mchezo Na Viwango Vya Sauti

Nguzo za mchezo wa Krampus zimewekwa angani wazi. Nyuma utaona giza wakati anga linafunikwa na idadi kubwa ya nyota. Mchezo ni wa kawaida sana, kwa hivyo hata kiwango cha sauti hakitakushtua.

Unaweza kutarajia viwango vya sauti kidogo tu unapopata faida. Chini ya ubao wa mchezo utaona rundo la zawadi wakati juu kuna kiumbe mithili ya Krampus na kadi mikononi mwake.

Huu sio mchezo pekee unaotokana na kadi maarufu za kukwangua, na ambao hakiki yake unaweza kusoma kwenye tovuti yetu. Michezo mingi ya kasino imewapa utajiri wadau wa kubashiri casino, jiunge na mabingwa!

Unachotakiwa kufanya ni kukwangua na kushinda mara 10,000 ya dau lako!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here