Msisimiko wa Kubashiri Na “Roll to Luck”!

0
1096
New Casino Games Online | Roll To Luck

Tunafurahi kuwakaribisha kwenye mchezo wetu mpya wa kubashiri kwenye kasino mtandaoni wa kutumia kete aina ya dice, Roll to Luck, ukiongozwa na muhudumu mwenye mvuto, Nicole. Mchezo huu unakupa fursa ya kujisikia kama uko  kwenye jumba la kasino halisi na nafasi ya kujinyakulia zawadi kubwa!

Kuhusu Mchezo Wa Roll To Luck

Kwenye hali ya kwanza, “mchezo wa kete(dice) 2″, unapaswa kuchagua nambari kutoka 3 hadi 11, kwenye “mchezo wa kete(dice) 3″ – kutoka 4 hadi 17, na kwenye “mchezo wa kete(dice) 4″ – kutoka 5 hadi 23.

Baada ya hapo, unapaswa kuweka dau lako kwa “Over” au “Under“. Kwa kuweka dau kwenye mojawapo ya hali hizo nilizotaja, unaweza pia kunufaika na kigezo cha kushinda mara mbili au mara tatu, ambacho kinategemea idadi ya alama kwenye kete(dice) ulilochagua.

The Besr Casino Games Online
Roll To Luck

Kadri unavo diriki ndivyo, kiasi kikubwa cha faida utakitegemea! Risk inategemea kikomo cha nambari kinachoweza kuwa juu au chini ya lile ulilochagua. Chagua dau, pamoja na idadi ya kete(dice), na kuanza msako wa kutafuta nne nne ili kupokea kigezo cha x50 kwenye mchezo wa Roll to Luck!

Zisake Lucky Threes

Ikiwa utapata lucky three’s nne nne, basi bila kujali matokeo ya mchezo mkuu, utapokea mara x50 ya dau lako!

Jinsi ya Kucheza

  1. Chagua hali ya mchezo inayokufaa: “mchezo wa kete(dice) 2″, “mchezo wa kete(dice) 3″, au “mchezo wa kete(dice) 4″.
  2. Chagua nambari ndani ya safu iliyotolewa kwa hali uliyoichagua.
  3. Amua chaguo lako la kubashiri iwe “Over” au “Under“.
  4. Tazama kete(dice) zinaporushwa na kusubiri matokeo.
  5. Tazama kwa ukaribu usipitwe na Lucky Threes – nne nne zitakuletea mara x50 ya dau lako!

    Michezo rahisi ya Kasino
    Casino Game online

Fungua Bahati Yako

Roll to Luck inakupa uzoefu wa kipekee na wa kuvutia wa mchezo unaochanganya mkakati, bahati, na kusisimua kwa mchezo wa kasino mubashara. Kwa hali tofauti za mchezo, chaguzi za beti zinazoweza kubadilishwa, na uwezekano wa kusawazisha “Lucky Threes“, wachezaji watapata msisimko usiyosahaulika.

Je, uko tayari kwa mchezo huu wa Kasino? Jiunge na Nicole na uanze safari yako ya ushindi na mchezo wa “Roll to Luck leo!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here