Extra Bingo | Mchezo Wa Namba Kasino.

0
799
BINGO CASINO GAME ONLINE
Extra Bingo

Hapa kuna mchezo mwingine ambao unachanganya kwa ustadi michezo ya kasino na michezo ya namba. Tunakuletea njia kamili ya kufurahia kutokea popote pale ulipo. Kama unaupenda mchezo wa Keno ndani ya Kasino, bila shaka utaupenda mchezo ufuatao.

Extra Bingo ni mchezo wa kasino mtandaoni ulioandaliwa na mtayarishaji mahiri wa mchezo ya Casino – Wazdan. Je, umechoka kusubiri mpaka kipindi fulani ili kupata droo inayofuata? Kuanzia sasa, unaweza kuchagua wakati wa kuanza kwa droo inayofuata mwenyewe.

Mchezo Wa Bingo Kasino Mtandaoni | Bingo Casino Online Game
Extra Bingo

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri kusoma sehemu inayofuata ya makala hii, ambayo inafuata hakiki ya mchezo wa Extra Bingo . Tumeigawanya hakiki ya mchezo huu wa kasino katika sehemu kadhaa kama ifuatavyo:

 • Maelezo ya msingi kuhusu mchezo wa Extra Bingo
 • Malipo ya Ushindi
 • Michezo Ya Bonasi
 • Muundo Wa Mchezo Na Viwango Vya Sauti

Maelezo ya msingi kuhusu mchezo wa Extra Bingo

Extra Bingo ni mmoja wa michezo ya keno iliyozoeleka. Kuna namba 20 za kuchagua na inavuta namba 20 katika kila mzunguko.

Idadi ya chini ya namba unazoweza kucheza kwa kila mzunguko ni  namba tatu. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi nyingi ya namba kadri iwezekanavyo. Ikiwa utapatia namba zote ulizochagua, utapokea malipo ya juu kabisa kwa mchezo huu wa Bingo.

Unaweza kuchagua aina yoyote/mpangilio wowote wa namba, kuanzia namba tatu hadi namba 10.

Chini ya mipangilio ya mchezo huu wa kasino utaona  uwanja wa menu na dau zinazowekwa kwa kila beti. Unachagua kiwango cha dau/beti kwa kubofya namba uzitakazo. Pia unaweza kubadilisha jukumu kwa kutumia vitufe vya kuongeza na kupunguza vilivyoko kwenye uwanja wa menu.

Pia kuna kipengele cha Kucheza ki-automatiki unaloweza kuamsha unapopenda. Kupitia chaguo hili unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000.

Je, unapenda mchezo wako wa kasino uendeshwe kwa kasi kidogo? Hakuna tatizo. Unaweza kuendesha chaguo cha hilo kwa kubonyeza alama ya Turbo. Kuna viwango vitatu vya kasi katika mchezo huu. La kwanza linawakilishwa na kobe, la pili ni sungura, na la tatu ni farasi.

Faida kuu ya Extra Bingo ni kwamba wewe kama mdau wa michezo ya kasino unaweza kuamua muda wa droo kuanza.

Malipo ya Ushindi

Kulingana na idadi ya namba unazozicheza, malipo yanatofautiana. Jambo zuri ni kwamba hauhitaji kuchagua namba zote ili upate malipo. Malipo ya ushindi ni kama ifuatavyo.

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba tatu:

 • Kugonga mbili kunatoa dau mara mbili
 • Kugonga tatu kunatoa mara 50 ya dau
Bingo Casino Game Online
Mchanganyiko Wa Namba Tatu

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba nne:

 • Kugonga mbili kunatoa thamani ya dau
 • Kugonga tatu kunatoa mara 10 ya dau
 • Kugonga nne kunatoa mara 85 ya dau

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba tano:

 • Kugonga mbili kunatoa thamani ya dau
 • Kugonga tatu kunatoa mara tatu ya dau
 • Kugonga nne kunatoa mara 20 ya dau
 • Kugonga tano kunatoa mara 200 ya dau
Bingo Games Online
Mchanganyiko Wa Namba Tano

Ikiwa unacheza mchanganyiko wa namba sita:

 • Kugonga tatu kunatoa dau mara mbili
 • Kugonga nne kunatoa mara 12 ya dau
 • Kugonga tano kunatoa mara 60 ya dau
 • Kugonga sita kunatoa mara 550 ya dau

Mchanganyiko wa namba saba:

 • Malipo yanatofautiana na ushindi mkubwa unakusubiri pindi unapo bashiri kwa usahihi namba zote saba. Kisha utashinda mara 1,000 ya dau lako.

Kwa namba nane, malipo ni tofauti, lakini kiwango cha juu cha malipo hufanana, mara 1,000 zaidi ya dau/beti yako.

Malipo ya juu kabisa yanakusubiri ikiwa unacheza mchanganyiko na namba tisa au 10. Kulingana na idadi ya namba unazo bashiri kwa usahihi, malipo yanatofautiana.

Hata hivyo, kiwango cha juu ni sawa. Kupatia uchaguzi wa namba tisa au 10 kunakupatia mara 2,000 ya dau lako.

Michezo Ya Bonasi

Unaweza kudouble ushindi wowote kwa msaada wa bonus ya kamari . Unahitaji tu kuhisi rangi ya kadi inayofuata itakayochorwa kutoka kwa kifurushi.

Extra Bingo-bonus ya kamari-online casino bonus-wazdan Bonus ya kamari Unaweza kucheza kamari mara kadhaa mfululizo.

Muundo Wa Mchezo Na Viwango Vya Sauti

Mazingira/Maandhari ya mchezo huu wa kasino Extra Bingo yamewekwa kwenye mandhari ya bluu. Unapoanza mchezo utaona bawa ambalo namba hutolewa.

Muziki wenye msisimko unapatikana wakati wote unapojifurahisha. Ubunifu wa mchezo ni mzuri sana.

Jifurahishe na Extra Bingo na ushinde mara 2,000 ya dau lako!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here