Madam Lucky | Binti Bahati Ndani Ya Kasino.

0
874
Madam Lucky Slots | Online slots Tanzania

Hapa kuna video slot nyingine ambayo inakuletea furaha isiyo ya kawaida. Utapata fursa ya kukutana na mwanamke anayegawa furaha kwa mkono na kofia. Jukumu lako ni kukusanya ushindi utakaokufurahisha.

Madam Lucky ni video slot iliyoletwa kwetu na muuzaji Synot. Bonasi kibao zinakusubiri kwenye mchezo huu wa kasino. Jokeri itaongeza mara mbili ya ushindi wako wote, kuna mizunguko ya bure pamoja na bonasi kubwa ya kubashiri.

Cheza Sloti Kasino | Best Slots To Win
Madam Lucky Slots

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu wa sloti, tunakushauri kusoma sehemu inayofuata ya makala hii, ambayo ina hakiki ya video slot ya Madam Lucky . Tumeigawanya hakiki ya mchezo huu katika sehemu kadhaa:

  • Maelezo ya msingi
  • Alama za video slot ya Madam Lucky
  • Bonasi za pekee
  • Ubunifu na athari za sauti

Maelezo ya msingi

Madam Lucky ni video slot mtandaoni ambayo ina nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na ina mistari 10 ya malipo iliyofungwa. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kulinganisha alama mbili au tatu zinazolingana kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wote wa kushinda, isipokuwa wale wenye alama za kutapakaa, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa kushinda wa mstari mmoja, utalipwa mchanganyiko wa thamani kubwa zaidi.

Inawezekana kuunganisha ushindi ikiwa unaweka mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.

Ndani ya uwanja wa kubeti , kuna vitufe vya kujumlisha na kutoa ambavyo unaweza kuvitumia kuongeza au kupunguza thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna chaguo la Kucheza ki-automatiki ambacho unaweza kuanzisha wakati unapopenda. Unaweza kuweka mikono isiyo na kikomo kupitia chaguo hili.

Wachezaji wanaopenda dau kubwa hasa watafurahia kitufe cha Max Bet . Kwa kubofya eneo hili, unaweka ki-automatiki dau lako kubwa kwa kila mzunguko.

Unaweza kurekebisha athari za sauti katika kona ya chini kulia chini ya nguzo.

Alama za video slot ya Madam Lucky

Linapokuja suala la alama zenye malipo ya chini kwenye mchezo huu wa sloti, ni alama za kadi za kawaida: 9, 10, J, Q, K, na A. Zimegawanywa katika vikundi viwili, ikiwa K na A hutoa malipo ya juu kidogo kuliko zilizobaki.

Alama za bahati: Kiatu cha farasi(Horse shoe) pamoja na uwa la kijani lenye majani manne huleta malipo yanayofanana. Ikiwa umefanikiwa kupata alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa kushindi, utapata mara 25 ya dau lako.

Ifuatayo ni alama ya kengele inayotoa malipo mazuri zaidi. Ikiwa utaunganisha alama tano za kengele kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 40 ya dau lako.

Mwishowe kabisa, linapokuja suala la alama za msingi, tunawasilisha alama mbili zenye thamani kubwa zaidi ya malipo. Hizi ni sarafu ya dhahabu na alama nyekundu ya Lucky 7. Ikiwa utaunganisha tano ya alama hizi kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 75 ya dau lako.

Bonasi za pekee

Alama wild ya mchezo huu wa sloti inawakilishwa na mwanamke wa bahati. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa alama ya scatter, na inawasaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Madam Lucky SLOTS Online | Michezo Ya Sloti
Alama Ya Joker

Pia, hii ni alama inayolipa malipo ya juu zaidi katika mchezo. Alama tano za wild kwenye mstari wa malipo inakupa mara 900 ya dau lako .

Lakini, jokeri huleta mishangao mingine. Kila wakati alama wild inaonekana katika mchanganyiko wa ushindi kama alama ya jokeri itaongeza mara mbili ya ushindi wako.

Alama ya scatter inawakilishwa na magic ball. Hii ni alama pekee inayolipa popote inapoonekana kwenye nguzo. Alama tano za scatter kwenye nguzo huleta mara 500 ya dau lako.

Madam Lucky Slots
Alama Ya Scatter

Alama tatu au zaidi za scatter kwenye nguzo zitakuletea mizunguko 15 ya bure .

Katika mchezo huu wa bonasi, ushindi wako wote utazidishwa kwa mara X 3.

Bonasi hii ya kubashiri inapatikana ambapo unataka kudouble ushindi wowote. Unahitaji tu kubashiri kama kadi inayofuata kuonyeshwa kutoka kwa bunda itakuwa nyeusi au nyekundu.

Mizunguko Ya Bure

Unaweza kucheza kubashiri mara kadhaa mfululizo.

Ubunifu na sauti

Nguzo za sloti ya Madam Lucky zimewekwa katika msitu wa kichawi. Muziki wa kichawi unapatikana wakati wote unapojifurahisha.

Ubunifu wa mchezo ni mzuri na mandhari yanabadilika wakati wa mizunguko ya bure. Alama zote zinaonyeshwa kwa undani.

Kutana na mwanamama mzuri katika video slot ya Madam Lucky !

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here