Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 3)

28
2097
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Bet min – Kiwango cha chini cha pesa ambazo unaweza kubetia katika mzunguko mmoja.

Betting limits – Ukomo huu unatawala jumla ya kiwango cha kubetia (kutoka dau dogo zaidi hadi dau kubwa zaidi) katika gemu moja ya kasino.

Binary options – Binary options zinatumika katika kubetia kuondolewa kwa pesa za kitu fulani, oili, fueli, dhahabu, silva, na bidhaa.

Bitcoin (BTC) – Mfumo wa pesa unaoitwa cryptocurrency ambazo zinaweza kutumika kama njia ya malipo. Kitu fulani kuhusu sarafu ni kwamba kinakuhakikishia wewe usijulikane wakati unatumia mtandao.

Blackjack – Gemu ya karata ambapo goli ni kufikia jumla ya karata unazokuwa nazo kufikia namba 21, au kukaribiana na namba hiyo. Endapo jumla ya karata mkononi inakuwa inazidi dau hilo unakuwa umepoteza gemu. Blackjack inachezwa dhidi ya dealer.

Itaendelea…

28 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here