3D Baccarat – gemu ya kibabe kwa wanawake na wanaume!

13
1725
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Baccarat ni gemu maarufu sana na inayopendeza mno miongoni mwa gemu za kasino. Watengenezaji wa gemu ambao wanafahamika sana, Leap wametengeneza toleo bora sana la gemu za kasino la muundo wa 3D Baccarat! Katika hii 3D Baccarat, Leap wametumia fremu ya teknolojia maarufu sana ambayo inawafanya watumiaji wake wajisikie vyema sana kwa kila mzunguko wa mchezo wao. Hii Baccarat inajulikana sana kuwa ndiyo gemu ambayo imeteka mioyo ya mashabiki wengi wa muvi za James Bond.

Sheria zake ni rahisi kuzielewa na kuna duel kati ya mteja na watu wa benki. Gemu inachezwa kwa kikasha cha kawaida chenye karata 52, ukiondoa jokeri. Lengo la gemu hii ni kubashiri upande upi ambao utakuwa na sehemu kubwa na kufikia alama 9 zinazowezekana. Upande wa karibu zaidi kwenye namba tisa unaleta ushindi kwako.

Unaweza kubashiri kwenye suluhu. Kinachopendeza sana kwa kila mtu ni namna ambavyo hii gemu bomba isiyopitwa na muda inavyokuwa na inavyochezwa. Inachezwa kwa kuwa na karata 52, ni muhimu kukumbuka kwamba inachezwa bila ya karata za wild. Ni muhimu kuzichanganya karata kabla ya kuzichezesha kwa kila mzunguko. Alama ya min/max inaonesha mkeka wa dau kubwa na wa dau dogo ambalo unaweza kulipia katika sehemu yoyote ya kubetia (suluhu, mtu wa benki au mteja) na kuanzisha gemu.

3D Baccarat – gemu bomba isiyopitwa na wakati

Katika gemu hii kubwa ya karata, mteja au mtu wa benki anahusika katika karata mbili au tatu. Karata ya tatu inahusika kwa kuzingatia “Third Hand Rules“. Gemu inalinganisha thamani za kwenye upande wa mteja na kwa upande wa mtu wa benki wakati upande wa thamani sawa unakuwa ni sare. Nini maana ya “Third Hand Rule“?

Endapo mteja au mtu wa benki anafikia jumla ya 8 au 9, inakuwa inaitwa “natural sum” na pande zote zinasimama. Sheria hii inahusika sana katika sheria zote zilizopo. Endapo mteja ama mtu wa benki hana jumla ya 8 au 9, gemu inaendelea kama ifuatavyo:

Kama sheria ya rule of thumb ilivyo ni kuwa mteja anakuwa na karata yenye thamani ya 0-5, karata ya tatu inahusika tena.

Endapo mteja anakuwa na thamani ya 6 au 7 basi ule upande wa tatu unasimama pale. Kwa mujibu wa sheria ya mtu wa benki, endapo mteja anasimama, basi mtu wa benki anatoa karata ya tatu endapo upande unakuwa na thamani ya 0-5. Endapo mteja anatoa karata ya tatu, thamani ya karata ya mteja inatolewa na thamani ya upande wa mtu wa benki inaamua endapo mtu wa benki anapokea karata ya tatu.

3D Baccarat, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
3D Baccarat, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Thamani ya upande mmoja inaamuliwa kwa kuongeza thamani ya karata zilizopo mkononi. Karata zenye namba 2-9 zinahesabika kwa thamani ya kawaida, yaani zinakuwa na thamani kubwa inayoonekana kwenye zile zenyewe. Thamani za zile ace zinapigiwa hesabu kwa alama 1. Dazani za karata zenye picha, kama vile mfalme, mfalme, gendarme zinakuwa na thamani ya alama 0. Endapo thamani ya upande inakuwa ni 10 au zaidi, thamani ya upande mmoja inahesabiwa kwa kutoa namba kumi.

Kwa dhahania ni kuwa uhakika (RTP) mikeka ya mtu wa benki ina 98.94%, uhakika kwa mteja ni 98.76%, wakati suluhu yake ni 85.56%. Kampuni ya Leap imeleta gemu ya kasino yenye muonekano wa pembe tatu zote ambayo ni nzuri sana 3D Baccarat katika namna maalum na inawaruhusu wateja wafurahie kila upande. Maelezo mafupi ya gemu za kasino mtandaoni yanapatikana hapa.

13 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here