Baccarat Gold – gemu ya mezani inayoleta upekee!

9
1992
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Mashabiki wa gemu za mezani wanaletewa gemu ambayo itawafurahisha sana na inakuja kwao ikiwa imetoka kwa watengenezaji wa gemu waitwao Microgaming. Kaa ambavyo tayari unajua, hii baccarat ni gemu rahisi sana na inaeleweka kiwepesi mno. Hao Microgaming wanatuletea gemu hii katika mtindo mpya na upekee wa muonekano wa picha, ijaribu hii Baccarat Gold! Gemu hii inatumia kikasha cha kawaida chenye karata 52. Mteja na mtu wa benki wanapokea karata mbili zinazotazama meza.

Uhodari wa gemu hii ni katika machaguo mawili: “rotate” na “squeeze“. Cha kwanza, hakika, ni kile kinachofanya kazi kwa kuzunguka ramani nyuzi 90 wakati ile ya pili inafanya kazi kufungua na kuona ambacho umekipata. Machaguo haya yanachukuliwa kutoka katika baccarat ikiwa na kasino za moja kwa moja hewani.

Baccarat Gold, Kasino ya Mtandaoni, Bonasi

Baccarat Gold
Baccarat Gold

Gemu hii inakuwa ya kipekee kwa sababu unaibetia katika mikeka tisa kwa mtu wa benki au kwa mteja katika upande mmoja. Tutaorodhesha aina zote za mikeka ambayo unaweza kuicheza. Hivyo, kuna mikeka mikuu kwa mtu wa benki, mteja na sare. Kwa kuongezea kwenye mikeka hii ya kawaida, unaweza kucheza zote kwa mtu wa benki na kwa sare na vile vile kwa mteja na sare kwa wakati mmoja.

Pia, unaweza kucheza kwamba mteja ama mtu wa benki atapokea pea za aina moja ya karata. Kitu pekee ambacho hakiwezi kuunganishwa katika gemu hii ni mikeka kwenye mtu wa benki na kwa mteja mmoja mmoja wao katika upande mmoja. Baada ya kupata karata hizo mbili na kufunguliwa, zitaongezeka, na karata ya tatu inafunguliwa pale tu ambapo unakuwa na uhtaji wa kufanya hivyo.

Shinda mpaka mara 12 zaidi ukiwa na Baccarat Gold! Kuhusiana na malipo ni kwamba yanafanyika kwa mujibu wa sheria zifuatazo:

  • Malipo kwa mtu wa benki yanafanyika katika uwiano wa 1: 1 (inapunguzwa kwa kamisheni ya 5%)
  • Malipo kwa kila mteja yanafanyika katika uwiano wa 1: 1
  • Malipo kwa suluhu yanafanyika kwa uwiano wa 8: 1
  • Malipo kwa dau la nje (tuseme ni mtu wa benki au mteja anayepokea pea za karata za aina moja) zinakuwa ni kwa uwiano wa 11: 1

Uhakika wa gemu hii ni mkubwa ambazo ni 98.94%. muonekano wa picha ni mkubwa sana na unapendeza mno, hasahasa katika dunia ya baccarat. Kwa kuongezea, muziki unaijaza akili yako kikamilifu kabisa. Sauti ya jazi inaweza kusikika nyuma yake na kuchagnia hisia za uhalisia wa pale kwenye kasino za Vegas.

Pangilia mipangilio yako, cheza kwa upande mmoja, furahia na uburudike kwa muonekano mzuri kabisa na muziki bomba! Endapo unapenda gemu za ubaoni unatakiwa kuchukua muda wako ukaangalia maelezo ya gemu kadha wa kadha hapa.

9 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here