Sloti ya Heroic Spins inavyoonekana kwenye kasino.

Heroic Spins | Zungusha Mpaka Utajirike!

Mbele yako kuna tukio ambalo sio la kukosa ndani ya kasino linalofanyika katika kasri lililoko kwenye kingo za mto mzuri. Wanyama wakubwa wamemteka mfalme, kazi yako ni kumuokoa, na ukifanikiwa katika hili, faida nzuri zitaambatana na wewe.

Heroic Spins ni mchezo wa sloti mtandaoni iliyowasilishwa kwetu na mtoa huduma Pragmatic Play. Mambo makubwa yanakungoja katika mchezo huu. Kuna wilds(jokeri) zenye vizidishio(multipliers), safu za wild na mizunguko ya bure zenye vizidishio vizuri.

Jinsi sloti ya 'Heroic Spins' inavyofanya kazi kwenye kasino.
Sloti Ya Heroic Spins

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu kasino, tunakushauri usome mapitio ya sloti ya Heroic Spins.

Tumegawanya mapitio ya mchezo huu wa kasino katika vipengele kadhaa:

  • Taarifa za Msingi
  • Alama za sloti ya Heroic Spins
  • Bonasi za Kasino
  • Grafiki na sauti

Taarifa za Msingi

Heroic Spins ni mchezo wa sloti mtandaoni yenye safu tano zilizo na mistari mitatu na mistari 20 ya malipo. Ili kufanikisha ushindi wowote, ni muhimu kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Michanganyiko yote ya ushindi huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza kushoto.

Unaweza kushinda mara moja kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una michanganyiko kadhaa ya ushindi kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani ya juu zaidi.

Jumla ya ushindi inawezekana wakati unaunganisha kwenye mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.

Karibu na sehemu ya Spin, kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza ambavyo unaweza kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kukiendesha wakati wowote unapotaka. Unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000 kupitia chaguo hili. Kupitia kipengele hiki unaweza kuweka mizunguko ya haraka au turbo.

Pia unaweza kuweka mizunguko ya haraka katika mchezo wa msingi. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kushoto chini ya safu.

Alama za sloti ya Heroic Spins

Kuhusu alama za slots hii ya kasino, malipo ya chini kabisa ni alama za kadi, yaani suits: jembe, kisu, kopa na mboroso, lakini pia alama inayofanana na kikombe kilichojaa divai. Hii ndiyo alama yenye thamani kubwa zaidi miongoni mwao.

Ikifuatiwa na alama ya bundi, huku alama ya monster mwenye jicho kubwa itakuletea malipo makubwa zaidi. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x1.5 ya dau lako.

Sanduku lililojaa sarafu za dhahabu litakuletea malipo ya juu zaidi kidogo. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi utashinda mara x2 ya dau lako.

Monster mwingine mwenye pembe kubwa analeta malipo makubwa. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utashinda mara x2.5 ya dau lako.

Alama yenye thamani kubwa zaidi miongoni mwa alama za msingi ni mfalme. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x5 ya dau lako.

Bonasi za Kasino

Jokeri inawakilishwa na mbuzi wa dhahabu mwenye nembo ya Wild. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa scatter na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Inaonekana kwenye safu ya pili, ya tatu na safu ya nne.

Alama wild(Jokeri) inavyoonekana na kufanya kazi kwenye sloti ya Heroic Spins.
Jokeri(Wild)

Wakati wildcard ipo katika mchanganyiko wa ushindi kama alama ya wildcard itaenea kwenye safu nzima. Ikiwa wildcards mbili zipo kwenye safu moja na wildcard itaeneza safu, inapata kizidishio cha x2. Ikiwa jokers tatu zipo kwenye safu moja na zinashiriki katika mfululizo wa ushindi kama alama za mbadala, zinapata multiplier ya x3.

Scatter inawakilishwa kama shujaa anayekusudiwa kumuokoa mfalme. Wakati alama hizi tatu au zaidi zinapoonekana kwenye safu, gurudumu la bahati litawashwa.

Alama ya scatter kwenye sloti ya Heroic Spins, kasino mtandaoni.
Scatter

Gurudumu la Bahati linajumuisha vipengele vya mizunguko ya bure na vizidishio(multipliers). Utapewa kwa nasibu mizunguko ya bure kuanzia mizunguko 8 hadi mizunguko 50 yenye vizidishio(multipliers) kutoka x2 mpaka x100.

The wheel of fortune in the Heroic Spins Slot game online Meridianbet's casino.
Gurudumu la bahati

Safu za wild pia hupokea vizidishio vya juu zaidi kuliko kwenye mchezo wa msingi na hufikia mpaka vizidishio vyenye thamani x2, x4 au x6. Pia unaweza kuwasha mizunguko ya bure kupitia chaguo la Bonus Buy.

Free spins in the casino game 'Heroic Spins'.
Mizunugko ya Bure.

Malipo ya juu zaidi ya sloti ya Heroic Spins kwenye kasino namba 1 nchini, ni mara x10,000 ya dau lako.

Grafiki na sauti

Heroic Spins imewekwa kwenye kibaraza cha kasri nzuri. Mchezo unahamia kwenye ulimwengu wa moto wakati wa mizunguko ya bure.

Grafiki za mchezo huu wa slots ni nzuri sana na alama zote zimewasilishwa kwa undani.

Usikose sherehe hii. Usikose kucheza sloti ya Heroic Spins na ushinde mara x10,000 zaidi ya dau lako.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.