Huu ni mchezo wa kuvutia kasino, ambapo alama za matunda zinatawala. Mbali na miti ya matunda, una nafasi ya kukutana na alama za bahati, pamoja na alama za dhahabu. Ukiziunganisha katika mchanganyiko kamili wa ushindi, faida za ajabu zitakusubiri.
Art of Gold ni mchezo wa sloti kasino, sloti hii iliyowasilishwa kwetu na mtoa huduma EGT Casino. Aina kadhaa za bonasi zinakungoja katika mchezo huu. Kuna scatter, wilds(jokeri) nzuri, michezo ya bonasi na jackpots nne zinazoendelea.
Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri usome mapitio ya sloti ya Art of Gold.
Tumegawanya mapitio ya mchezo huu wa ‘Art Of Gold‘ katika vipengele kadhaa:
- Sifa za Msingi
- Alama za sloti ya Art of Gold
- Michezo ya bonasi na alama maalum
- Grafiki na sauti
Sifa za Msingi
Art of Gold ni moja ya michezo ya sloti mtandaoni yenye safu tano zilizo na mistari minne na mistari 40 ya malipo. Ili kufanikisha ushindi wowote, ni muhimu kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Michanganyiko yote ya ushindi, isipokuwa ile yenye scatter, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza kushoto.
Unaweza kushinda mara moja kwenye mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una michanganyiko kadhaa ya ushindi kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani ya juu zaidi.
Jumla ya ushindi inawezekana, ikiwa utaunganisha kwenye mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.
Chini ya safu kuna menyu ambapo unaweza kuchagua ukubwa wa dau kwa kila mzunguko.
Kuna pia kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kukiendesha wakati wowote unapotaka. Unaweza kuweka idadi isiyo na kikomo ya mizunguko kupitia chaguo hili.
Mchezo unafaa kwa aina zote za wachezaji kwa sababu una viwango vitatu vya kasi vya mzunguko, ni juu yako kuchagua kiwango unachopenda. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kushoto chini ya safu.
Alama za sloti ya Art of Gold
Kuhusu alama za mchezo huu wa kasino, tunabainisha miti minne ya matunda kama alama za thamani ya chini ya malipo. Hizi ni: cherries, plums, machungwa na zabibu.
Mara baada yao, miti miwili ya matunda ifuatayo, tikiti maji na koma-manga. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x5 ya dau lako.
Vipande vya dhahabu vitakuletea malipo makubwa zaidi. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x7.5 ya dau lako.
Alama ya msingi yenye thamani kubwa zaidi mchezoni, kama ilivyo katika michezo mingi ya sloti za kawaida, ni alama nyekundu ya Lucky 7. Ukiunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x25 ya dau lako.
Michezo ya bonasi na alama maalum
Jokeri(wild) inawakilishwa na alama ya clover yenye majani manne yenye nembo ya Wild. Alama hii huchukua nafasi ya alama zote, isipokuwa scatter, na husaidia kuunda mchanganyiko mzuri zaidi wa ushindi.
Alama hii huonekana pekee kwenye safu ya pili, ya tatu na ya nne na mara nyingi inaonekana kama alama iliyopangwa.
Kwa kweli, alama zote isipokuwa scatter zinaonekana kama alama zilizopangwa.
Scatter inawakilishwa na nembo ya dola. Inaonekana kwenye safu zote na ni pekee inayolipa popote inapoonekana kwa idadi ya kutosha. Wakati huo huo, ni alama ya thamani zaidi ya mchezo. Scatter tano kwenye safu zitaleta mara x500 ya dau lako.
Bonasi ya kamari pia inapatikana ambapo unaweza kuongeza ushindi wowote mara mbili. Unahitaji kubashiri rangi ya kadi inayofuata inayotolewa kutoka kwenye kibunda cha kadi. Unaweza kucheza kamari mara kadhaa mfululizo.
Art Of Gold ni slots ya kasino yenye jackpots nne zinazoendelea ambazo zinawakilishwa na alama za kadi. Inawashwa bila mpangilio na kisha utapata kadi 12 zikiwa zimenyooshwa mbele yako.
Chini ya kila kadi kuna alama fulani, na unapokusanya alama tatu zinazofanana utashinda jackpot inayowakilishwa na alama hiyo.
Grafiki na sauti
Safu za sloti ya Art of Gold zimewekwa kwenye mandhari ya zambarau. Muziki mzuri upo wakati wote unapokuwa ukicheza slots. Athari za sauti ni nzuri zaidi kila unaposhinda.
Grafiki za sloti ni nzuri sana na alama zote zimewasilishwa kwa undani. Furahia ladha ya ushindi ukicheza Art of Gold!