81 Crystal Fruits | Sloti Inayazoidi Kukupa Tu!

0
580
Play the New Slots Online | 81 Crystal Fruits
Sloti Ya Crystal Fruits

81 Crystal Fruits iko Mbele yako kukupeleka kwenye safari ya kasino isiyoweza kusahaulika ambapo miti ya matunda imetwaa umbo la kioo kin’ngavu(crystal). Mchezo huu unaweza kuonekana kama burudani ya kawaida, lakini itakuletea furaha bora kuliko michezo mingine ya kasino uliyoizoea. Kazi yako ni kujifurahisha na buradani hii ya kipekee.

81 Crystal Fruits ni mchezo wa mtandaoni unaoletwa kwetu na mtoa huduma Tom Horn. Katika sloti hii ya mtandaoni, kuna aina kadhaa za bonasi. Kwanza kuna Bonasi ya Kurudia(Re-Spin Bonus) yenye vizidishio(multipliers), vilevile kuna bonasi ya kamari(Gambling Bonus) ambayo inaweza kuongeza mapato yako.

Cheza Sloti Kasino Mtandaoni
Sloti Ya 81 Crystal Fruits

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu wa 81 Crystal Fruits, tunakushauri uendelee kusoma sehemu inayofuata ambayo itafuatiwa na hakiki ya mchezo huu.

Tumegawanya hakiki ya 81 Crystal Fruits katika sehemu kadhaa:

  1. Sifa za Msingi Kuhusu Mchezo wa 81 Crystal Fruits
  2. Alama za Sloti ya 81 Crystal Fruits
  3. Bonasi za Kasino
  4. Grafiki & Sauti Za Sloti Ya 81 Crystal Fruits

Sifa za Msingi

81 Crystal Fruits ni sloti ya kawaida inayojumuisha nguzo nne zilizopangwa katika mistari mitatu na una paylines saba. Kwa kuamsha Bonasi ya Kurudia(Re-Spin Bonus), mchezo unakuwa na mchanganyiko 81 ya ushindi. Ili kushinda, unahitaji kupata alama tatu au nne zinazofanana katika mfuatano wa ushindi.

Mchanganyiko wowote wa kushinda huzingatiwa tu kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Kila payline inaweza kuwa na ushindi mmoja. Ikiwa kuna michanganyiko mingi ya ushindi katika payline moja, utalipwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.

Inawezekana kuunganisha jumla ya ushindi kwa kuziunganisha kwa paylines kadhaa kwa wakati mmoja kwa kutumia alama ya wild.

Alama za kuongeza(+) na kupunguza(-) hutumika kuongeza au kupunguza thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia, kuna chaguo la Kucheza moja kwa moja (Autoplay) ambalo unaweza kuliamsha wakati wowote unaotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500.

Kwa wachezaji wanaopenda dau kubwa, kuna kitufe cha Weka Dau Kubwa (Bet Max) ambacho kinafanya beti iwe kubwa zaidi kwa kila mzunguko.

Unaweza kurekebisha mzunguko wa haraka katika mipangilio ya mchezo, na pia unaweza kurekebisha athari za sauti katika kona ya chini upande wa kulia chini ya nguzo.

Alama za Sloti ya 81 Crystal Fruits

Tukizungumzia alama za mchezo huu 81 Crystal Fruits, matunda ya cherry na limau huleta malipo madogo zaidi . Hufuatiwa mara moja na machungwa na plamu , na alama nne za aina hii kwenye mfuatano wa ushindi huleta mara tatu zaidi ya dau lako.

81 Crustal Fruits Slots
Mchanganyiko Wa Ushindi(Winning Combination)

Zinazofuatia ni alama za zabibu na kiwi ambazo huleta malipo makubwa sana. Ikiwa utaunganisha alama nne za aina hii katika mfuatano wa ushindi, utashinda mara nane ya dau lako.

Tikitimaji ni lenye thamani zaidi miongoni mwa alama za matunda. Ikiwa utaunganisha alama nne za aina hii katika mfuatano wa ushindi, utapata mara 12 ya dau lako.

Alama ya thamani zaidi katika mchezo, kama ilivyo kwa sloti nyingi za kawaida, ni nembo ya Lucky 7 nyekundu. Ikiwa utaunganisha alama nne za aina hii katika mfuatano wa kushinda, utapata malipo mazuri sana, utashinda mara 40 zaidi ya dau lako.

Bonasi za Kasino

Joker anawakilishwa na nembo ya 81 Wild . Inabadilisha alama zote katika mchezo na kusaidia kuunda mchanganyiko wa kushinda(winning combination).

Joker anaweza kuonekana kwenye nguzo zote. Kila mara inapoonekana kwenye mchanganyiko wa ushindi(winning combination) kama wildcard, Bonasi ya Kurudia(Re-Spin Bonus) inaanzishwa .

Baada ya hapo, nguzo za mzunguko na kurudia huanzishwa. Alama zote za kushinda zinatoweka kutoka nguzo hizo, na nyingine mpya zinaonekana kwenye nafasi zao.

Bonasi Ya Mizunguko Ya Kujirudia (Re-Spin Bonus)

Mizunguko ya kujirudia itaendelea ilhali utaendelea kushinda, na wakati wa kurudia, vizidishio(multipliers) ya nasibu hutumika kuongeza ushindi wako: x2 , x3 , x4, au x5 .

Bonasi ya mizunguko ya kujirudia itasimamishwa pale utakapo poteza mzunguko bila ushindi.

Pia, kuna bonasi ya kamari(gambling bonus) inayopatikana ili kuongeza ushindi wako. Ikiwa unataka kuzidisha ya ushindi wako, unahitaji kuchagua rangi ya karata itakayochorwa(drawn) kutoka kwenye bunda la karata.

Sloti Ya 81Crystal Fruits | 81 Crystal Fruits
Bonasi Ya Kamari (Gambling Bonus)

Ikiwa unataka mara nne ya kiasi ulichoshinda, unahitaji kubashiri rangi ya karata itakayofunuka kutoka kwenye kibunda. Unaweza kubahatisha mara nyingi mfululizo.

Grafiki & Athari za Sauti za Sloti Ya 81 Crystal Fruits

Nguzo za  sloti ya 81 Crystal Fruits zimewekwa kwenye mandhari ya buluu yenye giza. Kila mara Joker anapoonekana kwenye nguzo, nuru nyeupe itangaza kwenye mchezo wa Sloti.

Athari za sauti ni za kisasa na muziki mzuri unakusubiri unapopata ushindi. Ubunifu wa mchezo ni mzuri sana.

Jisikie vizuri na sloti ya 81 Crystal Fruits!

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here