Bison Trail | Sloti Yenye Bonasi Za Kushangaza

0
112
Bison Trail New Slot | Sloti Ya Bison Trail

Ni kawaida kukutana na Bison na wanyama wengine wa porini katika michezo ya kasino mtandaoni. Wanyama hawa kawaida huja katika makundi na huleta bonasi kubwa za kasino. Itakuwa hivyo pia wakati huu.

Bison Trail ni sloti ya mtandaoni iliyoletwa na mtoa huduma wa michezo ya kasino Platipus. Mchezo huu una bonasi zenye nguvu, ambazo hutoa mizunguko ya bure. Wakati wa mchezo huu wa bonasi kadi za porini(wild cards) zinaonekana na vizidisha(multipliers).

Sloti Ya Bison Trail

Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Sloti Ya Bison Trail

Bison Trail ni mchezo wa sloti wenye safu tano zilizopangwa katika safu nne na ina michanganyiko 1,024 ya ushindi.

Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kulinganisha alama tatu au zaidi zinazofanana katika mlolongo/mfuatano wa ushindi.

Bison ndio alama pekee kwa sheria ya sloti hii ambayo hulipa hata ukilinganisha alama hizo mbili.

Michanganyiko yote ya ushindi, isipokuwa ushindi uliombatana na alama ya Scatter, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

Ushindi moja hulipwa kwa kila mlolongo/mfuatano wa ushindi, na kila wakati ni ule wenye thamani ya juu zaidi.

Jumla ya ushindi inawezekana, ikiwa utaunganisha katika mistari kadhaa ya ushindi kwa wakati mmoja.

Kubofya kitufe cha Bet kinafungua menyu ambamo unasanifu kiasi cha dau kwa kila sarafu.

Utaona thamani ya dau kwa kila mzunguko kwenye uwanja wa Total Bet.

Autoplay pia inapatikana, ambayo unaweza kuiamrisha wakati wowote utakao taka. Kupitia chaguo hili unaweza kuweka hadi mizunguko 100.

Ikiwa unapenda mchezo wenye kasi zaidi, unaweza kuamrisha mizunguko ya haraka kwa kubofya kwenye uwanja wenye picha ya mshale mara mbili.

Unaweza kubadilisha mipangilio ya sauti kwenye kona ya chini kushoto chini ya safu.

Alama Za Sloti Ya Bison Trail

Alama za kadi za kawaida: 9, 10, J, Q, K na A. Zina nguvu sawa ya malipo.

Alama ya Mbuzi na Mbwa mwitu, zote zikiwa na thamani sawa ya malipo, huleta mara 120 ya dau lako ikiwa alama tano za aina hio zikitokea kwenye mchanganyiko wa ushindi.

Puma na Ndege Tai ni alama zinazofuata kwa suala la thamani ya malipo. Ikiwa utaunganisha alama tano kati ya hizi kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 150 ya dau lako.

Alama ya msingi na  yenye thamani zaidi ya mchezo ni, kama inavyotarajiwa, Alama ya Bison yenyewe. Ikiwa utaunganisha tano kati ya alam hizi katika mlolongo wa ushindi, utapata mara 300 ya dau lako.

Joker inaonyeshwa na shoka zilizokatizwa ambazo zina nembo ya Wild juu yao. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa alama ya Scatter, na inasaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Sloti Ya Bison Trail
Alama Ya Joker ( Wild)

Alama hii ya Wild huonekana pekee kwenye safu ya pili, ya tatu na ya nne.

Bonasi Za Sloti Ya Bison Trail

Scatter inaonyeshwa na nembo ya jina lake na inaonekana kwenye safu zote. Hii ndiyo alama pekee inayolipa popote inapoonekana kwa idadi ya kutosha. Alama tano za Scatter kwenye safu husababisha ushindi mara 20 ya dau lako.

Alama tatu au zaidi za Scatter popote kwenye safu huleta mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:

  • Alama Tatu za Scatter huleta mizunguko 8 ya bure
  • Alama Nne za Scatter huleta mizunguko 15 ya bure
  • Alama Tano za Scatter huleta mizunguko 20 ya bure 
Sloti Ya Bison Trail | Kasino Ya Mtandaoni
Mizunguko Ya Bure

Wakati wa Mizunguko ya bure, Alma ya wild pia huonekana kwenye safu ya pili, tatu na nne, lakini wakati huu na vizidisha(multiplier). Vizidishia hivi huwa ni X2, X3 na kuendelelea huku kizidishia cha juu kikiwa X27

Muonekano na Kiwango Cha Sauti Wa Sloti Ya Bison Trail

Nguzo za sloti ya Bison Trail zimepangwa kwenye maandhari ya porini mwa bara la Amerika. Wakati wote ukicheza sloti ya Bison Trail utaburudishwa na sauti na vionjo vya tamaduni za watu asilia wa bara la Amerika.

Muonekano wa sloti ya Bison Trail ni wa kiwango cha juu na alama zote huonekana kwa kina na kwa urahisi hii ni kutokana na kiwango cha juu cha grafiki za sloti hii mpya. Furahia bonasi kubwa kwenye sloti hii mpya ya Bison Trail.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here