Silk Road | Barabara Ya Ubingwa Kuelekea Kasino

0
153
Sloti ya Silk Road | The Silk Road
Mchezo Wa Sloti Ya Silk Road

Silk Road ni burudani yenye kuamsha hisia za kipekee, kama ungetaka kujifurahisha na mchezo wa kasino unaokupa shangwe za Mashariki ya Mbali. Pata kufurahia mchezo mpya wa kasino tunaouwasilisha kwako. Utakutana na utamaduni wa Kiarabu, utatembelea Uajemi wa kale wa Persia, na lengo kuu ni kufika China ya kale.

Silk Road ni mchezo wa sloti ulioandaliwa na mtoa huduma Live 5. Silk Road itakuletea zawadi za kushangaza! Kuna aina tatu ya mizunguko ya bure inayokusubiri, na kila moja ina sifa zake.

Silk Road Slots | Sloti Ya Silk Road
Sloti Ya Silk Road

Ikiwa ungependa kujifunza zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri uendelee kusoma sehemu inayofuata ya makala hii fupi ambayo ni hakiki ya mchezo wa sloti wa Silk Road.

Tumegawanya hakiki ya mchezo huu katika sehemu zifuatazo:

  • Sifa za Msingi za Mchezo wa Silk Road
  • Alama za Mchezo wa Silk Road
  • Michezo ya Bonus
  • Grafiki & Sauti Ya Sloti Ya Silk Road

 

Sifa za Msingi za Mchezo wa Silk Road

Silk Road ni mchezo wa sloti mtandaoni wenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari minne na paylines 20 za kudumu. Ili kushinda, unahitaji kupata alama mbili au tatu zinazofanana kwenye payline.

Mchanganyiko wowote wa ushindi, isipokuwa ule wenye alama maalum, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza kushoto.

Mchezaji anaweza kupata ushindi mmoja kwenye payline moja. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi kwenye payline moja, utalipwa kwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.

Unaweza wa kupata jumla ya ushindi kwa wakati mmoja kama ukiziunganisha kwa alama maalum.

Kwa kubonyeza kitufe chenye picha ya sarafu kunafungua uwanja wa kuweka beti/dau kwa kila mzunguko(spin).

Vilevile kuna chaguo la Autoplay unaloweza kuliwasha wakati wowote unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko(spini) 100. Pia, kupitia chaguo hili, unaweza kuweka kikomo cha upotezaji.

Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti wa mchezo wa Silk Road na mizunguko(spin) ya haraka kwenye mipangilio ya mchezo.

 

Alama za Mchezo wa Silk Road

Linapokuja suala la alama za mchezo huu, alama za kadi zifuatazo: J, Q, na K zitakuletea malipo madogo zaidi.

Kisha, hufuwatiwa na alama ya chungu cha jadi cha Kichina, ambayo inatoa malipo sawa na alama ya mfuko wa dhahabu uliojaa sarafu. Alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi hukuletea mara 12 ya dau.

Alama ya Hekalu la Kichina lina thamani zaidi kuliko alama hizo. Ikiwa utapata alama tano za aina hii kwenye payline, utashinda mara 20 ya dau lako.

Mtu aliye na silk na sarafu ya dhahabu mikononi mwake anatoa malipo makubwa zaidi. Ikiwa utapata alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara 25 ya dau lako.

Lobby ya Hekalu la Kipersia ni alama ya msingi ya mchezo. Ikiwa utapata alama tano za aina hii kwenye payline, utashinda mara 50 ya dau lako.

Joker anawakilishwa na mtu aliye kwenye ngamia. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa alama ya kusambaza(scatter) na dragon, na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Silk Road Slots | Sloti Ya Silk Road
Alama ya Joker(Wild)

Alama tano za Joker(wild) kwenye payline zitakuletea mara 50 ya dau lako.

 

Michezo ya Bonus

Alama ya kusambaza(scatter) inaonekana kwenye nguzo ya kwanza, ya tatu, na ya tano. Kwenye nguzo ya kwanza na ya tatu, alama ya kusambaza inaonekana na nembo ya mizunguko ya Bure(Free Spins Logo), wakati kwenye nguzo ya tano, alama ya kusambaza(Scatter) inaonekana na nembo za Arabia, Uajemi(Persia), na China.

Unaweza kuaanzisha mizunguko ya bure na alama tatu za kusambaza(scatter), na kulingana na ni alama gani ya kusambaza(scatter) unayopata kwenye nguzo ya tano, utashinda moja ya aina tatu za mizunguko hii ya bure:

Mizunguko ya Arabia – Kabla ya kuanza kwa mchezo wa ziada, gurudumu la bahati litazunguka, likuletee mchezaji kizidishio cha ziada(multiplier). Inatumika kwa ushindi wote wakati wa mizunguko ya bure.

Mizunguko ya Uajemi – kila alama ya joker(wild) inapoonekana wakati wa aina hii ya mzunguko wa bure, inapanuka kufunika nguzo nzima.

Mizunguko ya China – Madragon huonekana wakati wa aina hii ya mzunguko wa bure. Husababisha malipo ya kutosha popote wanapoonekana.

Sloti ya Silk Road | Silk Road slots
Mizunguko ya Uajemi (Persian spins)

Alama mbili au tatu za kusambaza(scatter) wakati wa mizunguko ya bure huleta mizunguko mingine mitano au 10 bure.

Juu ya nguzo utaona ramani iliyochorwa. Kila wakati sarafu za dhahabu zinapo onekana kwenye alama fulani, metriki ya maendeleo(progressive meter) kwenye ramani inajazwa. Kwa njia hii, unashinda Mizunguko ya Arabia, Mizunguko ya Uajemi, na hatimaye Mizunguko ya China.

Sloti Ya Silk Road Meridianbet
Mizunguko Ya China (China Spins)

Unapowasha mizunguko ya China kwa njia hii, metriki ya maendeleo(progressive meter) inarudi mwanzo.

 

Grafiki & Sauti Za Sloti Ya Silk Road

Nguzo za mchezo wa Silk Road zimepangwa jangwani. Muziki laini na murua uko wakati wote unapojiburudisha na mchezo bora wa sloti.

Grafiki za mchezo ni nzuri. Ubunifu utavutia hata wachezaji wanaohitaji burudani zaidi.

Cheza sloti ya Silk Road na ushinde mpaka mara 3,000 zaidi ya dau lako!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here