Wolf Gold – hisi muito wa nyikani katika sloti mpya ya video!

14
1430
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs25wolfgold

Inatoka kwa watengeneza gemu waitwao Pragmatic Play, na sasa unaletewa gemu mpya inayoletwa kutoka huko Wild West. Dhamira ya gemu hii ni mbweha wanaosaka dhahabu. Vionjo vya bonasi vinashangaza sana na vinaleta amsha amsha kubwa ambapo hakika hautatamani kusimama kucheza gemu hii. Utashangazwa na rangi za ajabu na mionekano bomba sana.

Zindua Wolf Gold na utaona kuna dunia mpya yenye raha ambayo inakusubiri wewe. Picha zake na muziki zinaungana vyema sana na kukupatia wewe uhondo mkubwa sana. Je, sloti hii inahusiana na nini?

Hii sloti ya Wolf Gold ni yenye milolongo mitano katika safu tatu na mistari 25 ya malipo: mbweha, nyati, tai, pundamilia, puma, pesa na alama bomba za karata.

Wolf Gold, bonasi ya kasino mtandaoni

Wolf Gold
Wolf Gold

Inaonekana wazi kwamba upo safarini na unaweza kutengemeza pesa nyingi sana ukiwa na hii. Shinda mpaka zaidi ya mara 12,500! Mhusika mkuu wa gemu hii, mbweha, ni alama ya wild na inachukua nafasi ya alama zingine katika mzunguko wowote, isipokuwa katika zile za scatter na alama za pesa. Kwa kuongezea, mbweha anakuwa na kitufe cha jokeri anayejishikiza vyema. Endapo alama hii inajaza mlolongo wote, malipo ya zaidi ya mara 12,500 ya mkeka wako yanakuwa ni hakika kabisa!

Wolf Gold, bonasi ya kasino mtandaoni

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs25wolfgold

Kwa kuongezea, kuna mizunguko ya bure mtandaoni. Wakati alama ya scatter inapotokea katika mlolongo mmoja, mitatu au mitano, kitufe hiki kinawashwa na mizunguko mitano ya bure mtandaoni inazawadiwa.

Wakati wa mizunguko ya bure katika mlolongo wa pili, tatu na nne, alama ya ukubwa wa 3 × 3 inatokea. Hii ni kwamba, miinuko mitatu ya katikati inabadilishwa na kuwa ni mmoja ambao unakuwa mkubwa zaidi. Gemu ya bonasi ya “money respin” inatokea wakati alama sita au zaidi za pesa zinatokea popote pale.

Kila alama ya sarafu inakuwa na thamani yake ambayo inaoneshwa katika mpira husika. Thamani hii inahusika katika ukubwa wa dau na inaonesha mojawapo ya jakpoti tatu ambazo zipo. Mara tu hiki kitufe kinapoanza kufanya kazi, alama zote za pesa zinabakia katika sehemu ile ile na mteja anapata mziunguko mingine mitatu kujaribu kutengeneza miunganiko ya ziada ya ushindi.

Kwa kila alama mpya ya pesa amabyo inatokea, mizunguko mingine mitatu ya ziada inapatikana kila wakati. Wolf Gold inakuletea wewe jakpoti tatu!

Gemu ya bonasi inakuwa juu wakati mizunguko mingine iliyopatikana inapokuwa imeisha na mteja anapata ushindi kutoka kwa alama zote za pesa ambazo zimekusanywa. Endapo visehemu vyote 15 vilivyopo vinapojazwa na alama ya pesa, unapata Mega Jackpot! Kwa kuongezea, ile Mega Jackpot, gemu hii inakuletea zingine zaidi ambazo ni Mini Jackpot na Major Jackpot.

Ingia katika majangwa ya Wild West, hisi muito wa wild ukiwa na sloti kubwa ya video ya Wolf Gold. Ruhusu jakpoti na vionjo vikubwa vya bonasi vikuletee wewe ushindi mkubwa, kila la heri!

Maelezo ya gemu zingine za jakpoti yanapatikana hapa.

14 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here