Premier Roulette – mchanganyiko kamili wa ubora na umaridadi!

13
1354
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/PremierRoulette

Ruleti inajulikana kuwa ndiyo moja ya gemu za kasino za zamani zaidi na zenye umaarufu mkubwa mno. Wateja wa ulimwenguni kote wanafurahia sana gemu hizi ambazo ni rahisi na zinazoburudisha, lakini zinapendeza mno. Ikiwa ni kama mmoja ya wazalishaji wakubwa wa gemu za kasino, Microgaming wanajua umuhimu na umaarufu wa gemu hii, hivyo wamekaa chini wakaja na kitu kipya, kizuri sana na chenye madoido mengi mno miongoni mwa matoleo ya ruleti – Premier Roulette! Kinachompendezesha kila mtu hapa ni namna ya kuicheza gemu hii na vitufe vilivyopo katika toleo hili zuri sana la ruleti ya Microgaming.

Ile gemu ya Premier Roulette ni aina ya ruleti ya Europe na lengo lake ni kukisia namba au kundi la namba ambapo mpira utaangukia. Katika alama ya ruleti kuna namba zipatazo 36 pamoja na sifuri, jumla yake ni visehemu 37. Namba zimepangiliwa katika mtindo tofauti tofauti, nyekundu kwa nyeusi, ni sifuri pekee ambayo ni ya kijani.

Kwa kuongezea, kuna zile Inside Bets za kawaida yaani zile internal bets pamoja na outside bets au external bets kama ambavyo zipo katika gemu zingine zozote za toleo la ruleti ya Europe, na pia hii Premier Roulette inakupatia machaguo makubwa ya kubetia.

Premier Roulette – fuata mtiririko kamilifu wa mpira!

Machaguo gani yameboreshwa katika hii Premier Roulette?

Moja ya vitufe ni “Bets Track” ambacho kinakuruhusu kuweka makundi ya mikeka kwenye ruleti. Unaweza kubetia makundi ya mikeka katika ruleti. Unaweza ukabetia kwenye Neighbor Bets na Call Bets.

Neighbors Bets” inajumuisha namba ambazo unabetia mkeka wa “Straight up” na namba mbili upande wa kushoto na mbili upande wa kulia wa muelekeo wa alama ya ruleti. “Call Bets” ni kundi la mikeka inayowekwa kwenye ruleti kwa wakati mmoja. Kitufe hiki kinapatiakna pale tu kwenye “Expert Mode”.

  • Call Bets zinapatikana katika Bets Track yaani washindani wanakuwa ni:
  • Les Orphelins (inachukua nafasi ya namba nane kwa kila alama ya ruleti),
  • Tiers du Cylindre (inachukua nafasi ya namba 12),
  • Voisins du Zero (muunganiko wa mikeka inayochukua namba 17).
  • Red Splits na Black Splits inawakilisha nafasi katika zile black splits nne na saba za rangi nyekundu.
Premier Roulette, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
Premier Roulette, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Pia, Microgaming imeweka mkazo maalum katika picha, hivyo muonekano wa jumla wa gemu ya Premier Roulette unakuahidi wewe burudani ya kiwango cha juu sana. Juu ya kioo kuna gurudumu lenyewe la ruleti. Pembeni yake kuna vitufe vidogo kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa video, taarifa za mapato, sehemu ya kawaida na ya kuongeza mwendo. Unaweza kuona historia nzuri sana ya karata ambayo inaonesha uwekezaji uliopita.

Ni muhimu kutaja suala la kwamba kitufe kingine kikubwa kinaletwa na toleo hili la ruleti na hicho kitufe ni Table. Kwa kutumia kitufe hiki unakuwa na uwezo wa kubadilisha muonekano na rangi ya ruleti yenyewe. Iko poa eh? Endapo unataka kuona namba zilizopita basi chagua tu sehemu ya Statistics. Katika sehemu ya chini utakutana na vitu kadha wa kadha ambavyo vinatumika katika matukio kama vile kutengua, kurudia na kufuta.

Furahia kuongeza ukubwa wa kioo cha video ili utazame vyema zaidi namba yako ya ushindi au kujiingiza mwenyewe katika hisia nzuri sana kwa kufuata mpira katika gurudumu la ruleti.

Kwa kufikiria ni kuwa uhakika (RTP) wa gemu hii inayopendeza ni 97.30%. Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za ruleti hapa.

13 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here