Tree of Fortune – chagua sehemu yako ya dhahabu!

11
1245
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino

Mkongwe wa zamani anasema kwamba mkulima alipewa mbegu ya utajiri! Aliatakiwa kuipanda kwa kujituma kwa bidii kwa siku arobaini na tisa bila ya kupumzika ili kuzaa matunda. Mkulima alifanya kama alivyoelekezwa na muda si mrefu akashuhudia mti umeota vyema na kuzalisha vibao vya dhahabu juu yake! Hadithi za mti huo wa kipekee zilisambaa sana miongoni mwa watu. Wakati wa mwaka mpya watu walining’iniza vitu vya rangi nyekundu katika mti uliopo ikiwa ni alama ya furaha.

Zawadiwa chaguo la mizunguko ya bure wakati ile sehemu nyekundu ikiwa imeshamiri haswa katika mti wa furaha! Utapewa nafasi ya kushinda sana wakati wa mzunguko wa bonasi. Kinachokaa nyuma ya kila rundo la dhahabu ni mzunguko wa bonasi ambao unaweza kukufanya uwe na furaha. Sloti mpya ya video iitwayo Tree of Fortune inakuja kwako ikiwa imetoka kwa wazalishaji wa gemu waitwao PG Soft!

Tree of Fortune
Tree of Fortune

Uhakika (RTP) wa sloti hii umepangwa kuwa ni 95.01%. The Tree of Fortune ina milolongo mitano na mistari thelathini ya malipo.

Ile sehemu nyekundu imefungua ngazi tano za gemu ya Tree of Fortune! Kila sehemu nyekundu inayotokea katika sehemu yoyote ile kwenye milolongo itapaa hadi kwenye mti wa utajiri. Inaweza kuangukia kwenye eneo lililo wazi au kwenye kisehemu kilichokuwepo mwanzo. Endapo alama kwenye kile kisehemu chekundu kinaangukia kwenye kisehemu ambacho kipo tayari, sehemu hiyo itakuwa kubwa kwa sasa.

Kunaweza kuwa na idadi isiyozidi visehemu vyekundu vitano katika mti. Kwa kila kisehemu chekundu kwenye mti, kuna ngazi, kutoka 1 mpaka kufikia 5, ambapo katika sehemu ya ngazi ya tano ile sehemu nyekundu inafunguka na kukupa wewe mizunguko miwili, mitatu au mitano ya bure.

Alama ya jokeri inakuwa ni mti wa furaha na inabadilisha alama zote isipokuwa ile alama yenye neno “shake” juu yake. Alama ya “shake” na alama ya jokeri zinatokea pale tu kwenye milolongo miwili, mitatu na minne. Alama tatu za “shake” zinawasha mzunguko wa bonasi. Wakati wa mzunguko wa bonasi, tikisa mti wa furaha na uone zawadi ambazo umeshinda. Endapo ukitikisa tena utaona kuna vitu nane vya dhahabu. Gusa sehemu ya dhahabu ili kuona pesa taslimu za kushinda, kukiwa na machaguo mengine ya ziada au salio la kuongezewa. Endapo sehemu ya dhahabu inaonesha +2, sehemu mbili za ziada za chaguo la dhahabu zinatolewa.

Endapo sehemu ya dhahabu inaonesha chaguo la kuwekewa pesa mzunguko wa bonasi utawashwa tena wakati ambapo haiwezekani tena kuchagua sehemu ya dhahabu. Endapo sehemu nane mpya za dhahabu zinaonekana, kwa kadri ya chaguo la kuwekewa pesa, seti ya tatu ya sehemu ya dhababu haitakuwa na kifurushi cha dhahabu chenye chaguo la kuwekewa hela yaani “top-up”. Picha za sloti hii ni nzuri sana na sauti yake ni kamilifu haswa.

Chukua nafasi ya kitu hiki cha pekee na uchague matunda kutoka katika mti mkongwe wa furaha.

Kusanya vibao vya dhahabu, itakupa furaha!

Maelezo zaidi ya gemu za kasino yanaweza kupatikana hapa.

11 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here