Fairytale Fortune – ndoto ya mahaba ya hadithi za zamani!

13
1480
Pragmatic Play
Pragmatic Play

Sloti ya video ya The Fairytale Fortune inakuja kwetu kutoka kwa watengeneza gemu wanaoitwa Pragmatic Play na ina gemu ambayo ina milolongo mitano na mistari 15 ya malipo, pia kuna alama ya wild. Tuna binti mfalme mzuri sana, mwana mfalme, kifaa kingine na kitabu cha midundo lakini pia kuna adui mkubwa – dragoni. Unataka kumsaidia mwana mfalme na binti mfalme kumpiga dragoni na kuweka hai matumaini ya hadithi hii ya kale?

Basi hapa sasa upo sehemu sahihi kabisa!

Fairytale Fortune, Pragmatic Play, Kasino ya Mtandaoni Meridian

Fairytale Fortune, Pragmatic Play
Fairytale Fortune, Pragmatic Play

Unacheza kwa namna gani? Kuna vitufe vitatu vya bonasi wakati ukicheza sloti hii na vyote vinawashwa katika namna moja, hiyo ni, wakati unapata alama ya bonasi ya Diamond kokote kule katika mlolongo mmoja, mitatu na mitano. Hili linapotokea basi moja ya bonasi tatu zinazofuatia itawashwa bila ya mpangilio maalum. Kukiwa na bonasi nyingi hadi tatu katika sloti ya Fairytale Fortune! Hizi ni bonasi gani?

Ya kwanza kabisa ni gurudumu la zawadi. Kwa kubonyeza sehemu ya kuzungusha unasogeza gurudumu kushinda kwa kizidisho, ambapo itawekwa kwenye mkeka wa kwanza. Endapo ukipata sehemu ya 50x +1 unapata kizidisho cha 50x na mzunguko wa ziada.

Fairytale Fortune, Pragmatic Play, Kasino ya Mtandaoni Meridian

Pragmatic Play
Pragmatic Play

Bonasi ya pili ni gemu kumi za bure zikiwa na jokeri anayeanguka. Wakati wa mizunguko ya bure, mwishoni mwa kila mzunguko, alama kati ya tatu na kumi zinachaguliwa bila ya mpangilio maalum, zinabadilishwa kwenda katika alama za sloti hii ya video.

Bonasi ya tatu ni gemu kumi za bure pamoja na Super Jocker mmoja, na mzunguko wa bure. Wakati wa gemu kumi za kwanza za bure, kila alama ya Fairytale Fortune inakusanyika juu ya milolongo ya juu.

Baada ya kucheza mizunguko kumi ya bure utapokea mzunguko mmoja wa Super Jocker ambapo alama zote zilizokusanywa kwa Fairytale Fortune Logo Wild zinaongezeka katika sehemu zisizo na mpangilio kwenye mlolongo. Baada ya kila gemu ya bonasi utakuwa na chaguo la kuongeza ushindi wako kutoka mara mbili hadi mara tano au kuingiza kiasi cha pesa ulichoshinda.

Uhakika (RTP) wa sloti hii ni 96, 52%, ambayo ni sababu mojawapo ya wewe kufurahia gemu hii!

Sloti hii ya video ina mengi ya kukupa wewe na sasa kwanini usiingie mazima ukachukua fursa hii kubwa? Kuna mionekano ya kimahaba na sauti zake, utaburudika sana kwa mlipuko halisi. Unadhani hadithi yako ya kale itakuwa na mwisho mzuri wa kupendeza? Gundua hilo katika sloti ya Fairytale Fortune!

Maelezo ya sloti zingine za mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.

13 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here