The Great Gambini’s Night Magic inakupa raha unayotaka!

24
1533
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/10381

Ulimwengu wa maajabu haujawahi kuwa karibu namna hii. Tunakuleta karibu na gemu ya maajabu ambayo imezungukwa na machaguo kibao ambayo yatakupendeza sana punde tu unapoiona. Furahia dunia ya maajabu ukiwa na sloti mpya kutoka kwa Novomatic, The Great Gambini’s Night Magic! Hii gemu kubwa ya Gambino inawakilishwa katika gemu hii kukiwa na muonekano mzuri? Kwa wale wanaoanza tunagundua kuwa kuna sloti ambayo ina bonasi nyingi sana!

Gundua siri za wachawi katika sloti yenye milolongo mitano na mstari 20 ya malipo. Alama zina dhamira ya maajabu; kuna saa ya mfukoni, kitabu, sehemu ya kijani, mpira wa zambarau, kisehemu cha maajabu, na malipo makubwa ni alama ya jokeri – kofia ya maajabu na alama ya scatter – kisehemu cha maajabu kikiwa na maelezo ya Free Spins.

The Great Gambini’s Night Magic, Novomatic, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/10381

Alama za sloti

Mizunguko ya bure inakupatia wewe zawadi kubwa na imekuwa imekamilika kwa kuwapa sababu za wateja kwanini waipende hiyo pekee. Wateja wengi wanapendezwa na kushinda gemu za bonasi katika sloti ya The Great Gambini’s Night Magic.

Alama za scatter!

Alama tatu, nne, au tano za scatter zitawasha mizunguko 5, 10 au 15 ya bure. Wakati wa mizunguko ya bure unapata alama maalum ikiwa na kila mzunguko na wakati alama inatokea katika mlolongo wa tatu wa maajabu, inakuwa ngumu sana hiyo alama na inakopiwa na milolongo mingine kutengeneza ushindi mkubwa sana!

The Great Gambini’s Night Magic, Novomatic, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Kitufe cha bonasi

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/10381

Kirekebisho cha gemu

The Great Gambini’s Night Magic

Kionjo kingine kisicho cha kawaida ambacho sloti hii inacho ni gemu ya kurekebisha. Baada ya kila mzunguko ambao unashindwa, kirekebisho kimoja cha gemu kati ya vinne kinatokea bila ya mpangilio maalum.

  • Cha kwanza kinaweza kuwa kimetokea katika alama ya Levitation na kisha inatokea kwamba ile Gambino kubwa inatengeneza alama fulani na kuzishusha katika kioo na kuchukua nafasi yake na zingine ambazo ni mpya, na kutengeneza muunganiko wa ushindi.
  • Kirekebisho kingine ni Reel Magic, mtu wa maajabu ambaye anavuta milolongo na kutengeneza muunganiko wa ushindi.
  • Cha tatu ni Quick Change – mtu wa maajabu anayehamishia alama na kutengeneza muunganiko wa ushindi!
  • Nini kinaletwa na kile kirekebisho cha nne, Victory of the Guillotine? Ili kuwekana sawa, hii Gambino kubwa inaanguka na guillotine na wakati zikivuta, zinaweza kuhesabu kwenye ushindi, pia inakuwa na uwezo wa kuwasha mizunguko ya bure!

Tunahitimisha kwamba hii ni sloti matata sana na ina fursa ya kupendeza na nafasi kubwa za kushinda. Zungusha mizunguko ya bure katika sloti ya The Great Gambini’s Night Magic na ufurahie maajabu!

Unaweza kuangalia maelezo mafupi ya sloti za video hapa.

24 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here