Raha, uhondo, na burudani ya kutosha ni baadhi ya mambo ambayo yamo ndani ya gemu za sloti. Mojawapo ya gemu za namna hiyo ni ile ya Journey to the West ambayo itakupatia wewe muda mzuri sana na wa kutosha! Kampuni inayojulikana sana ya Pragmatic Play imeitambulisha kwetu katika maajabu hayo, kwa sababu sloti hii ya video inahusu safari ya magharibi, na kwa hakika ni gemu yenyewe ambayo imelengwa kwa ajili ya raha za huko East.
Ukichanganya alama za East kukiwa na maajabu ya mbweha na wahusika wa nguruwe mtu na muziki wa ngoma, zile cymbals na violini inayovuta akili yako kwa namna ya kipekee kabisa kwako wewe mteja.
Journey to the West, Pragmatic Play, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
Journey to the West, Pragmatic Play
Sloti hii ya video ina dhamira ya kufurahisha sana, pia, idadi kubwa ya machaguo ambayo yanaifanya ivutie mno. Gemu ina mistari 25 ya malipo, na alama za herufi za China, mwana mfalme aliyetulia, mpiganaji wa Viking, nguruwe ambaye ni kama mtu akiwa na nguo za kijani, mbweha wana mkanda wa dhahabu.
Alama ya jokeri ni nembo ya Wild, na nembo ya Free Spins ni scatter na zinakupatia gemu za bure. Wakati ukiunganisha alama za scatter unapata mizunguko mitano ya bure na kuendesha chaguo la Free Spins. Alama ya scatter inatokea ikiwa na nyoka wanaopanda upande wa pili.
Journey to the West – gemu ya bonasi na faida zake
Wakati ukipata mizunguko ya bure, unakuwa na alama tofauti zipatazo tano na kukupatia ofa na uchague ipi unayotaka kuiwasha, kila chaguo lina alama tofauti na kiwango tofauti ambapo inaongeza ushindi. Alama zote zinakuja na kizidisho.
Ile wildcard katika muundo wa kigae imeandikwa Wild juu yake, inatoa ofa ya vizidisho vya 1x, Monkey King, yaani mfalme wa nyani, anakupatia kizidisho cha 2x, Xuanzang tj. Mwana mfalme wa kawaida, anakupatia kizidisho cha 3x, Pigsy tj. Mtu nguruwe akiwa amevaa nguo za kijani, anakupatia kizidisho cha 4x na mpiganaji Sha tj. Viking, anakupatia kizidisho cha 5x.
Journey to the West, Pragmatic Play, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
Kitufe cha Mizunguko ya Bure
Chagua kwa busara! Inatakiwa ukumbuke kwamba endapo unapokea alama tatu zaidi za scatter wakati wa kitufe cha mizunguko ya bure, utawasha nyongeza ya mizunguko ya bure. Gemu inayoburudisha sana ya Journey to the West itakushindia wewe punde tu na unapoanza hakika raha haisimami hata kidogo!
Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za sloti hapa na endapo unapendezwa na dondoo kadha wa kadha za sloti ambazo tunazo, basi unaweza kufanya hivyo kwa kubonyeza hapa. Kwa msaada zaidi kuhusiana na maelezo ya kasino mtandaoni, soma kamusi yetu ya hii.
Piga hela na journey to the west
Slot inayo kupa pesa fasta.
Slot games ya journey iko poa sana 👍
Gemu iko poa sana hii
Game kali
Game kali
Mchezo mzuri
Game zote kalii
Mchezo safi sanaaa
Safi
Game iko pow sana hii
Mchezo upo vizuri
Kwenye nyongeza hapa ndo mwake mwake
Good
Journey the west very good
@meridianbettz
Pesa nnje nnje
Iko poa sana
Nimeuelewa xana!!!
Slot hii lazima nicheze
Gemu hii ya uhondo