Sticky 777 – miti bomba ya matunda ikiwa na ongezeko la gurudumu la bahati!

20
1353

Sloti ya Sticky 777 inahusika kwa zile sloti za “old school” ukiongelea muundo wa gemu. Alama zake zimekuwa na muonekano wa wazi kabisa lakini kila alama inabeba rangi yake katika upande wa nyuma, kitu hiki kinasaidia sana mteja aweze kuona mpangilio halisi, ushindi na thamani ya kila alama katika nyakati zote. Muziki wake pia una picha ya pekee ya sloti za kizamani, ikiwa na hali fulani ya kisasa. Alama muhimu zaidi kaika gemu hii ni ile ya Sticky 777, ambayo ni jokeri, yaani ile ya wild katika gemu ya kawaida na mizunguko ya kawaida. Wakati huo huo, alama hizi tatu, nne au tano zinaleta bonasi ya gemu iitwayo “Wheel of Fortune”.

Gemu hii inaweza kumletea mteja mpaka ushindi wa 1,000x zaidi ya dau lake la jumla. Kwa kuongezea katika alama hii ni kuwa kuna alama zingine ambazo zinaipa ushindi endapo tatu au zaidi zikiwa zimekusanywa, kutoka kushoto kwenda kulia. Alama zingine ni dhahabu na kengele na matunda maarufu sana – tikiti maji, nanasi, limao, cherry na plum. Katika mistari kumi ya ushindi, mteja, kwa kuongezea alama zilizotajwa hapo kabla kwenye gemu, anaweza kushinda dhahabu za thamani na kengele, lakini pia siku zote kunakuwa na “fruit trees” ambazo ni maarufu.

Sticky 777, Gemu za Mb, Expanse, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Sticky 777, Expanse
Sticky 777, Expanse

Zungusha ile Wheel of Fortune katika sloti ya Sticky 777! Kionjo kingine cha gemu hii ni kile kitufe cha Respin. Kitufe hiki kinakuwa na matumizi kunapokuwa na alama mbili za wildcards katika milolongo wakati mmoja. Jokeri tatu au zaidi wakati wa kitufe cha Respin inakupeleka katika gemu ya bonasi ya “Wheel of Fortune”. Alama tatu za Sticky 777 zinaleta ngazi 1 ya gurudumu la bahati, likiwa na kiwango cha juu cha malipo ya 50x ya dau lote kwa ujumla.

Alama nne za aina hiyo zinakupa ngazi ya 2 nayo inakupatia malipo mpaka mara 125 ya dau lako kwa ujumla, wakati alama tano za wild zinaleta ngazi ya 3 ya gurudumu la bahati kukiwa na uwezekano mkubwa wa mkeka kuongezeka mpaka kufikia 1,000x! Mteja anakuwa na uwezo wa kusonga hadi katika ngazi nyingine kabisa ya kituo cha bahati endapo kwenye moja kati ya ngazi mbili lile gurudumu litasimamia hapo kukiwa na mishale, kitu ambacho hakitoi zawadi lakini inaweka alama ya kuhamia katika hatua inayofuatia ambako zawadi zake ni kubwa.

Ili kukamilisha machaguo yote yaliyopo, gemu hii pia ina kitufe cha kubashiri, ambapo mteja anaweza kufanya mara mbii yake kwa kukisia rangi ya karata, endapo kunakuwa na makosa, mteja atapoteza dau lake la ushindi. Unaweza kuona hapa maelezo ya gemu zingine maarufu.

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here