Monopoly Live – gemu inayofahamika sana katika hatua ya furaha!

19
1127
Gemu inayofahamika sana ya Monopoly imeboreshwa! 1, 2, 5, 10, 2 Rolls au 4 Rolls - chaguo ni lako!

Inatokea Evolution hii gemu ya kipekee ya gemu ya mtandaoni moja kwa moja, Monopoly Live, iliyotokana na gemu maarufu duniani iliyoitwa Monopoly. Toleo jipya kabisa la gemu maarufu – Monopoly Live linakuletea raha na burudani kubwa sana kukiwa na mkusanyiko wa fedha taslimu na furaha na inaongeza vionjo vya kipekee katika gemu ya Monopoly. Lengo la gemu kuu ni kwa ajili ya wenyeji wa gemu kuzungusha kwa gurudumu lililo katika ulalo ambalo ni kubwa na linachezeshwa moja kwa moja mtandaoni na wateja wanabashiri sehemu ambapo gurudumu hilo litasimamia baada ya kuzungushwa. Ukiachana na ile hali ya gemu hii kuwapa wateja nafasi ya kubetia katika sehemu ya kusimama katika namba fulani, gurudumu linajumuisha sehemu za nafasi kwa ajili ya kushinda pesa taslimu na vizidisho, na vile vile sehemu za “2 Rolls” na “4 Rolls”.

Segments 2 Rolls na 4 Rolls zinawasha uhalisia wa sehemu inayofurahisha sana – gemu ya bonasi ya 3D!!!

Monopoly Live, Evolution, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Monopoly Live, Evolution
Monopoly Live, Evolution

Namna ya kubetia katika Monopoly Live? Ni rahisi sana, wateja wanabetia namba ambayo wanadhani gurudumu litasimamia hapo: 1, 2, 5, 10, 2 Rolls au 4 Rolls. Endapo gurudumu litasimama katika sehemu ya Chance basi mteja atakuwa na karata ya Chance (chance card).

Karata itaonekana katika zawadi zisizo na mpangilio za fedha taslimu ama katika kizidisho. Endapo ile karata ya Chance inaonesha bonasi ya kizidisho, wateja wote waliobetia wanabakia katika sehemu moja. Kisha waandaaji wa gemu wanazungusha tena gurudumu na kizidsho kitashinda na kuzidisha ushindi kwa ajili ya mzunguko unaofuatia. Endapo mteja anapata kizidisho tena, jumla yake itazidishwa.

Chance, Monopoly Live, Evolution, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Chance, Monopoly Live, Evolution
Chance, Monopoly Live, Evolution

Masharti ya gemu ya bonasi yakoje? Ili kushiriki katika gemu ya bonasi wateja watatakiwa kuwa na mkeka wa 2 Rolls au 4 Rolls. Wakati gurudumu linaposimama katika 2 Rolls au 4 Rolls gemu ya bonasi itaanza! Wakati gemu ya bonasi inawashwa, wateja waliofuzu wataungana na Bwana Monopoly. Anaingia katika dunia ya uhalisia uliopo na kuondoka kuzunguka kibao cha 3D Monopoly kukusanya zawadi na vizidisho.

Utembeaji unaamuliwa na pea za dice, wateja wanafuzu kwa ajili ya gemu ya bonasi kwa kuweka mikeka katika 2 Rolls au 4 Rolls. Hii ina maana kwamba wateja watapata rolls mbili ama nne za dice katika gemu iliyo na alama za pesa!

Alama zote zinazofahamika katika gemu ya Monopoly zimejumuishwa, kama vile chance na community, hoteli, nyumba, jela na ile ya super tax. Gemu ya Monopoly Live ni rahisi na nyepesi, inakuruhusu wewe kutengeneza pesa nzuri ukiwa na vionjo kede kede.

Uhakika (RTP) wa gemu hii ni 96.23%.

Unaweza kutazama gemu zingine kutoka katika kipengele cha Live Casino kupitia hapa.

19 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here