Naughty Santa – sloti ya Christmas inakupa wewe zawadi!

18
1360
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Endapo unataka uhondo mpya basi kuna kitu sahihi kwa ajili yako kutoka kwetu sisi. Sloti ya video ya Naughty Santa itakusaidia wewe kufurahia siku zako duniani lakini pia kutengeneza pesa kiasi kadhaa. Uhusika mkuu unamhusu Santa Claus, lakini siyo kitu chochote ilmradi. Huyu Santa ni mjanja sana. Na siyo hivyo tu, bai ni kuwa anachukua wasichana wazuri sana na kwenda nao hukooo! Kuifikiria hii inakuwa na mshawasha wake, sasa kitu kikubwa – namna ambavyo inachezwa.

Santa, Habanero, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Naughty Santa, Habanero
Naughty Santa, Habanero

Gemu hii inajumuisha milolongo mitano, yaani safu zaidi zikiwa na miunganiko 432 ya ushindi! Alama nne zenye thamani kubwa ni wasichana wanne ambao wanamsaidia Santa Claus katika stori hii wakati vifaa vinne vyenye rangi vinawakilisha alama za thamani ya chini. Kinachoshangaza ni kuwa hivyo vifaa vinaweza kulipuka bila ya mpangilio maalum na kuwa jokeri wakati wasichana wanaweza kutokea katika idadi kubwa ya alama za 2 × 2 au 3 × 3. Katika safu ya tatu na ya tano yule Santa Claus anaingia katika hatua kwa hatua ambapo ni alama ya wild na anaweza kuitanua katika safu yote iliyopo.

Pia, kila muunganiko wa ushindi unazidishiwa kwa ziada (kutoka mara moja hadi mara kumi) kukiwa na kizidisho ambacho kipo chini ya milolongo. Naughty Santa na bonasi zake za Christmas! Ili upate gemu ya bonasi unatakiwa kupata scatters tatu, nne au tano. Kutegemeana nayo, unaweza kushinda mizunguko 8, 12 au 25 ya bure na kukuletea uhondo zaidi na zaidi. Inaburudisha, au siyo?

Gemu inajumuisha idadi kubwa ya vitufe kama vile: kusambaza jokeri kwenye safu yote, vifaa vinavyolipuka na kugeuka kuwa alama ya jokeri, vizidisho na mizunguko ya bure, ambapo vyote hivyo vina raha na malipo makubwa. Kwa kuongezea ni kuwa tutakufunulia muonekano wa picha na maumbo ambayo ni mazuri sana na vile vile kuna zile zilizokaa vyema sana katika eneo la Christmas, na ni hakika kuwa wote tunapenda sikukuu. Endapo wewe ni shabiki wa gemu za sloti hakika utaipenda hii gemu na hautoikataa.

Jipe raha kwa zawadi ya Christmas na usimame kwa Santa Claus! Naughty Santa – muunganiko wa raha iliyo salama. Jaribu bahati yako! Maelezo ya gemu za sloti za video yanaweza kupatikana hapa.

18 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here