Gold Train – ingia katika treni ya dhahabu na ushinde jakpoti!

20
1474
Gold Train

Treni siyo njia tu ya usafiri bali pia ni kwamba zimeunganika sana na utamaduni na matukio ya kihistoria kama vile hamasa ya kazi nyingi za sanaa ambazo zimetengenezwa katika historia miaka kwa miaka. Zimekuwa ni vichwa vya habari vya filamu na vitabu vingi duniani kama vile: “Murder in the Orient Express” cha Agatha Christie, “Strangers on a Train” cha Alfred Hitchcock na “From Russia with Love”… Hamasa kubwa imetoka katika treni na reli, tunapata sloti mpya ya video inayoletwa toka kwa wasambazaji wa gemu waitwao Pragmatic play, inaitwa Gold Train.

Ijaribu gemu hii bomba sana, promosheni za kupendeza mno ambazo zinakungoja wewe!

Bonasi ya kasino mtandaoni #gold train #kibao #kengele #bendera #lucky seven #treni #wagons #picha inaleta mchezo wa gemu kwenye mashine moja ya sloti mtandaoni

Gold Train, Pragmatic Play
Gold Train, Pragmatic Play

Gold train na vionjo kede kede vya bonasi kubwa!

Sloti hii ya video ina milolongo mitatu na mistari mitatu ya malipo. Milolongo inachukua nafasi ya kioo chote na inatokea kuwa ni ile iliyojishikiza katika upande wa kioo wa treni. Mistari mitatu ya malipo inalipwa vizuri sana. Hii Gold train ina alama za kutosha za bonasi na kionjo cha muendelezo wa bonasi ambazo zitafidia idadi kadhaa ya mistari ya malipo ambayo ina ukomo. Hakuna mizunguko ya bure mtandaoni katika sloti hii, lakini kionjo cha bonasi ya muendelezo kinakupatia zawadi bila ya mpangilio maalum unaokuja kwako katika sehemu za mizigo za treni.

Endapo alama ya kuboresha inaangukia katika milolongo yako utapokea vifaa vya ziada wakati kitufe chako cha bonasi kinapowashwa. Kitufe cha bonasi kitawashwa wakati scatters tatu zinaangukia katika milolongo yako. Kisha treni yenye rangi itatokea katika kioo na utapokea malipo bila ya mpangilio kutoka katika kila gari.

Wakati huu wa malipo, baadhi ya vifaa vinakupatia nafasi ya alama ya kuboresha badala ya malipo ambazo zinamaanisha kwamba utapokea vifaa vinne hadi vitano vya nyongeza ambavyo vitaongezeka katika idadi ya vifaa vinavyokuwepo pale wakati wa malipo. Hii inaweza kukupatia nafasi zaidi za kushinda. Jokeri watatu wanakuletea wewe jakpoti!

Alama hizo zinaweza kulipa kutoka kushoto kwenda kulia tu. Alama za vibao vitatu vinakuwa ni alama za malipo ya chini. Kisha inakuja kengele, bendera na kofia ya kondakta. Alama ambazo zinalipa zaidi ni wiki nyekundu. Tusisahau kuhusu uwepo wa alama ya wild ambazo zinabadilisha alama zote na kutengeneza muunganiko wa ushindi zikiwa pamoja nayo. Lakini ule uwepo wa alama tatu za wild utashinda jakpoti ya gemu hizi!

Muundo wa sloti hii ni bomba, Pragmatic play alichagua muonekano wa kizamani wa mashine za sloti kutoka ile miaka ya themanini. Milolongo imeungwa kwa picha za nyuma zenye rangi nyekundu wakati alama zake ni kubwa.

Pia, kuna chaguo la autoplay ambapo unaweza kuweka hadi ijichezeshe mara 1,000 yenyewe. Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni mzuri sana ambao ni 97.1%. hautokosea ukiwa na sloti ya Golden Train kwa sababu inakupatia wewe kionjo kizuri sana cha muendelezo wa bonasi. Uwezekano wa kushinda ni mkubwa na hii Golden train ni moja ya ambazo hutakiwi kuacha kuzikamatia! Maelezo ya gemu zingine za kasino yapo hapa.

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here