Gem Miner inakuletea uhondo mkubwa wa dhahabu!

17
1504
Gemu ya Gem Miner inakuletea furaha kubwa na wateja wake wanaburudika vya kutosha, kwa kuongeza ni kuwa ina muda mzuri sana, inatengeneza pesa nzuri. Hakika huu ni mfanano bomba.

Kwa hakika kuna idadi kubwa ya gemu katika soko la michezo, lakini gemu mpya kutoka kwa wasambazaji wa gemu waitwao Expanse inakuja na kitu cha kipekee na cha zaidi, kinachofurahisha zaidi na kitakachoongeza furaha yako katika kiwango cha juu zaidi. Gemu ya Gem Miner inakuletea furaha kubwa na wateja wake wanaburudika vya kutosha, kwa kuongeza ni kuwa ina muda mzuri sana, inatengeneza pesa nzuri. Hakika huu ni mfanano bomba.

Ingawa unapoiangalia kwa mara ya kwanza utaona kwamba ipo kama zile zingine ambazo ni bomba na zenye milolongo mitatu, ila bado Gem Miner inatofautiana na aina nyingine za gemu za mtindo huu. Mteja anaweza kufanya haraka, baada ya mzunguko wa kwanza, kugundua kuwa hii siyo gemu ya sloti ya kawaida. Gemu ina vitu kadha wa kadha ambavyo vimepangiliwa katika sloti tajwa, lakini inatofautiana kwa namna nyingi na gemu za sloti za kawaida.

Siku zote dhahabu zimekuwa zikivuta akili kwa kiwango kikubwa lakini zinaleta faida kubwa sana pia.

Gem MIner, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Gem MINER
Gem MINER

Sheria zake ziko wazi kabisa. Gemu ina safu tatu na zingine tatu, na alama ambazo zinaleta ushindi ni za dhahabu aina tofauti kwa upande wa rangi zake na hivyo zina thamani tofauti tofauti. Kutoka nyeupe, kwenda njano, mpaka kwenye zile zenye thamani kubwa – dhahabu za bluu, kutoka kwenye dau lako, mpaka kwenye dau ukizidisha kwa 1,000! Kila aina tatu ya alama zinazofananna za ulalo zitakupatia mafao kiasi fulani.

Chimba hadi mara 3,000 zaidi ukiwa na Gem Miner! Siyo tu zile tatu za aina moja zinazokuwepo kwenye safu bali pia aina fulani za bonasi zinakuwa zinaletwa na alama ya aina moja katika safu mbili na tatu, ambazo zinaongezwa pamoja. Hivyo, faida kubwa inaletwa na dhahabu tatu za bluu katika safu zote tatu ambapo mafao yake yanazidishwa kwa dau lake mpaka kufikia mara 3,000! Gem Miner inakupatia urahisi sana ambapo ni kionjo cha muhimu kwa ajili ya idadi kubwa ya wateja ambao wanafurahia aina hii ya gemu.

Kinachoifanya gemu hii iwe ni ya kipekee na izishinde zingine ni muundo na sauti. Zinatengeneza mambo maalum na kuwafanya wateja wapate muonekano mzuri ambao hauna masuala tofauti na hali halisi na uzoefu wake unakuwa tofauri sana na ngazi zile ambazo ni tofauti.

Gem Miner – inakupatia uhondo wa dhahabu katika njia mpya. Maelezo ya gemu zingine za kasino mtandaoni yanapatikana hapa.

17 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here