Evoji – mkakati mpya – pata kitu kilichofichwa!

13
1469

Tunapata gemu mpya kutoka kwa watengeneza gemu wanaoitwa Expanse ambao wanatuletea burudani na mapato makubwa sana. Matarajio yako hayatosalitiwa wakati huu, tunakuletea gemu ambayo itakuwa ni ngumu sana kuiacha ipite hivi hivi – Evoji! Gemu hii inakuletea uhondo wa mambo ya kabla ya historia na muonekano mzuri sana ambao unaifanya gemu ichezeke kiutamu mno na kuburudisha sana.

Hii Evoj ni gemu ambayo inaweza kupangwa katika gemu zenye mikakati ya mtindo wa kipekee ambapo mteja anajaribu kutafuta vitu ambavyo vimefichwa katika sehemu yenye maeneo 15. Siku zote kinachowafurahisha wateja ni juu ya sheria zilizopo na namna ya kushinda. Jibu ni kuwa – rahisi sana na yenye raha!

Mteja ana majaribio matatu ya kutafuta kila kifaa kinachotakiwa. Baada ya kukipata cha kwanza anapata nafasi ya kusimamisha gemu wakati wowote apendao na kutoa pesa zake ambazo anakuwa nazo kwenye akaunti yake kwa wakati huo. Endapo asipotoa pesa hizo lakini akaendelea na gemu na kupata vifaa vyote vitano katika ubao uliopo basi ataenda katika hatua inayofuatia.

Baada ya hapo ataweza kushinda bonasi. Kila hatua inayokuwepo pale inakuwa na utofauti wake husika, ambapo inachangia katika ugunduzi na hamu ya sehemu inayofuatia ya gemu hii.

Namna gani ya kuingia mchezoni kwenye uhondo wa Evoia? Gemu inaanza kwa mteja kuchagua namna ambavyo anataka pesa yake iwe ili aingie katika gemu hii. Katika kisehemu cha “next goal”, mteja anakuwa na uchaguzi wa kiasi gani anataka kupokea kwenye akaunti ya pesa taslimu, endapo atakipata kifaa kinachotakiwa katika ufunguzi wa kwanza unaofuatia baada ya ile sehemu.

Evoji, ingia katika uhondo mpya!

Evoj, ingia katika uhondo mpya!

Endapo mteja anafungua sehemu ya kwanza na kukosa kinachotakiwa hapo basi dau lake litabakia kuwa vile vile. Lakini mteja anakuwa na nafasi mbili na anaweza kufungua kisehemu kinachofuatia pekee. Endapo akikisia, anakuwa na kifaa kimoja kilichopatikana, anakuwa na nafasi tatu zilizobakia na anapata chaguo la Cash Out ambapo sasa anaweza kujilipa alichokikusanya mpaka kufikia hapo.

Akifanya hivyo gemu inaanza upya. Endapo akikosa mara tatu mfululizo anakosa kila kitu na gemu inaanza upya. Bonasi zenye usawa na pia zawadi kwa kufanikiwa katika hili na vifaa vinavyopatikana baada ya kutafutwa inaongezeka katika kila hatua inayotakwa.

Kinachoitofautisha hii Evoia na gemu zingine ni kuwa kwa hapa ushindi hauna kikomo. Ambapo inaleta burudani ya ziada na kuifanya gemu hii kuwa isiyo na mpinzani. Hii Evoje inaleta mkusanyiko uliokamilika wa maajabu na raha, yasiyotarajiwa na picha nzuri kabisa. Raha isiyo na kikomo inakuletea ushindi usiyo na kikomo. Na yote hayo unayapata katika gemu moja tu – Evoje!

Maelezo mafupi ya gemu zingine za kasino mtandaoni yapo hapa.

13 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here