Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Balance – Kiwango kinachosalia kwa mteja baada ya kubeti. Kiwango ambacho kinabakia kwa mteja mara baada ya kuweka pesa au baada ya kubetia kiasi cha pesa ambacho alikuwa nacho mwanzo.

Banker – Hili ni jina lingine la dealer wa kwenye kasino.

Bankroll – Jumla ya kiasi cha pesa ambacho kasino ama mteja anakuwa nacho kwa ajili ya kutumia kubetia.

Beginner’s luck – Hili ni neno ambalo linatumika kwa mteja ambaye anashinda katika gemu yake ya kwanza.

Bet max – Kiwango cha juu cha pesa ambacho unaweza kubetia katika mzunguko mmoja.

Itaendelea…

17 Replies to “Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 2)”

Leave a Reply to Povel Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *