Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.
Balance – Kiwango kinachosalia kwa mteja baada ya kubeti. Kiwango ambacho kinabakia kwa mteja mara baada ya kuweka pesa au baada ya kubetia kiasi cha pesa ambacho alikuwa nacho mwanzo.
Banker – Hili ni jina lingine la dealer wa kwenye kasino.
Bankroll – Jumla ya kiasi cha pesa ambacho kasino ama mteja anakuwa nacho kwa ajili ya kutumia kubetia.
Beginner’s luck – Hili ni neno ambalo linatumika kwa mteja ambaye anashinda katika gemu yake ya kwanza.
Bet max – Kiwango cha juu cha pesa ambacho unaweza kubetia katika mzunguko mmoja.
Itaendelea…
Kiwango cha uchezaji ni sh ngapi
Mambo mazuri na meridian
Gud news
Meridian pesa kama zote#meridianbettz
Mambo mazuri
ahsante kwa ufafanuzi
Mambo manzur
Asante kwa elimu tosha kabisa ya kunifanya nianze kucheza sasa
Mambo mazuri
Piga pesa na kasino matata
casino bombaa
Kiwango Cha kuanzia kucheza ni Bei gan?? Na ukishinda inakuaje kwenye malipo
Ufafanuz mzuri sana#meridianbet
Meridian mnatishaa
Mambo mazuri
Hakika mpo vizuri meridian
Nice