Leo tutaona zile sloti 5 za mtandaoni ambazo zimetokana na hamasa za muvi mbalimbali maarufu duniani.
Haya ni maelezo ya ufupi ya gemu hizo.
Ni hakika kuwa sloti za mtandaoni zinabamba sana hasa zile za kwenye makundi ya gemu za kasino mtandaoni.
Watengenezaji wa gemu wamekuwa wakipata hamasa kutoka katika mambo na matukio mbalimbali ya kihistoria. Tuna sloti ambazo zimetokana na hamasa ya mambo ya huko Misri au dhamira za huko Ugiriki, pia kule China… Sloti ambazo zimetokana na vitabu na hadithi za vitabuni. Kwa hakika tunaweza kutaja mambo mengi sana ambayo yamekuwa ni hamasa kwa watengeneza sloti hao. Hata hivyo, katika makala hii na zingine zijazo tutaangalia zaidi kuhusiana na sloti ambazo zimetokana na watengeneza filamu duniani. Hivyo, tunakuletea sloti 5 ambazo zimetokana na muvi.
Endapo muvi ya “Da Vinci’s Treasure” ilikupendeza sana, hauwezi kukosea kuipata gemu hii pia. Hii Da Vinci’s Treasure inapata hamasa yake kutoka katika filamu iliyotajwa hapo juu.
Hisi mazingira ya msako wa hazina! Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari 25 ya malipo.
Hiyo Da Vinci yenyewe ni alama ya wild, wakati bonasi Cryptex ni alama ya gemu hii. Sloti hii ina gemu tatu za bonasi. Pengine uzalishaji bora wa hizo ni kitufe cha Progressive Multiplier Free Spins.
Mwanzoni unapokea mizunguko 12 ya bure na kizidisho cha moja ambayo inaongezeka kwa kila mzunguko. Endapo unakusanya alama tatu za Cryptex wakati wa bonasi unakuwa na ushindi wa ziada wa mizunguko 12 ya bure na gemu yako itakushindia mpaka 60.
Inakubamba! Muziki unachangia mazingira husika na inakuletea uhondo mkubwa sana kwenye gemu. Ni muda wa kuzungusha milolongo!
Tunapata uhondo alafu tunaokota hela na meridian
Mambo mazuri na meridian
Mambo ni moto
Good
Safi
Safi
Safi
Hatar san
Slot iko poa sana
@meridianbettz
Burudani kali naipata meridian
Vizuri hio
Unabuludisha san
IPO vizurii
Mambo mazuri na online cassino
Pesa km yote
Safi sana
Mambo mazur ndan ya casino
burudika na meridian bet
Online kasino hipo vizuri kwa kweli
Kumbe casino nyingine ni movie
Hii INA aza sh ngapi kubashiri
Tunapata burudani pamoja na pesa,,,Asanteni sana
Tisha saba meridian ..apa maela tu
Gemu inashawishii kuicheza
Hi sloti ni nzuri sana kucheza