Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 6)

19
1472
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Coins – kiwango unachobetia kwenye kila malipo ya mstari mmoja mmoja.

Comps Point (Loyalty points) – alama unazozipata kwa kila gemu ya kasino. Unaweza kuibadilisha na visehemu kadhaa vya kwenye kasino mtandaoni.

Craps – gemu ya dice ambayo mteja anabetia jumla ya kiasi cha dice mbili baada ya kuzungusha.

Croupeier – hii inatumika sana huko Ulaya, ni neno lingine linalosimama badala ya dealers wa kwenye kasino.

Deal – karata ambayo mteja anapokea wakati wa gemu.

Itaendelea…

19 COMMENTS

  1. Hii makala bomba sana kwani najifunza mambo mengi sana ya sloti kupitia hapa, soon na mimi ntakuwa mtaalamu wa kucheza slots

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here