Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 1)

21
1594
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Njia 243 za kushinda (mistari 243 ya malipo) –

Pale unaposikia kwamba sloti ya video ina mistari 243 ya malipo ni kwamba utatakiwa kuweka mkeka wako na kuulipia. Hautachagua ni mistari mingapi ya malipo unayotaka kuichezea, kila muunganiko wa ushindi ambao unawezekana kutokea kutoka kushoto kwenda kulia utakupatia ushindi.

Sehemu ya Active payline –

Hii ni aina fulani tu ya mstari wa malipo ambapo unaweza kuweka mkeka wako na ukaulipia kabisa. Inakuwa ikifanya kazi wakati unabeti tu kabla haijageuka.

Ushirika katika masoko (Affiliate marketing) –

Hapa tunakuwa tunaongelea masoko ambapo kampuni inawazawadia washirika (affiliate) kadhaa kwa kila mteja ambaye analetwa kujiunga na kampuni kwa kupitia juhudi zao.

Ante –

Hii ina maana kwamba ile ambayo inatumika kutengenisha karata za gemu pekee. Ni aina fulani ambayo ni ya lazima kwamba ubetie kabla haujapokea tiketi zako.

Baccarat –

Baccarat ni gemu ya karata ya kasino. Vikasha sita ama nane vya karata vinatumika katika gemu hii. Lengo la gemu hii ni kutengeneza jumla ya karata kwa upande wa mteja kukaribiana na namba tisa. Pia, inajulikana kama Punto Banco.

Itaendelea…

21 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here