Cheza Cotton Gang Affair | Ushindi wa vikundi.

0
104
Cotton Gang Affair, sloti ya kasino mtandaoni.
Sloti ya Cotton Gang Affair

Tunakuletea mchezo mpya wa kasino ambao utapata nafasi ya kushuhudia mapambano ya kijambazi. Ukiwa na bahati ya kutosha, unaweza kupata faida za kipekee. Ni wakati wa mchezo kuanza.

Cotton Gang Affair ni mchezo wa sloti uliotengenezwa na watalaamu wa kutengeneza michezo ya kasino mtandaoni, Red Tiger. Mchezo huu una bonasi za kasino ambazo zitakufurahisha, wilds kibao, nguzo za wilds, vizidishio na mizunguko ya bure yenye wilds zilizoshikamana.

Muonekano wa sloti ya Cotton Gang Affair
Cotton Gang Affair

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunapendekeza usome mapitio ya sloti ya Cotton Gang Affair.

Mapitio ya mchezo huu yanafuata katika vipande kadhaa:

  1. Sifa za msingi
  2. Alama za sloti ya Cotton Gang Affair
  3. Bonasi za kipekee
  4. Ubunifu na sauti

Sifa za msingi

Cotton Gang Affair ni sloti ya kasino mtandaoni ambao ina nguzo tano. Usanifu wa alama kwa nguzo umewekwa katika mfumo wa 3-3-4-3-3, na mchezo una mchanganyiko 324 ya ushindi. Ili kupata faida yoyote, ni lazima uambatane na alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mfululizo wa ushindi.

Mchanganyiko wowote wa ushindi unahesabiwa kipekee kutoka kushoto kwenda kulia ukitokea nguzo ya kwanza kushoto.

Ushindi mmoja unalipwa kwa kila mfululizo wa ushindi. Ikiwa una michanganyiko ya ushindi kadhaa mfululizo, utalipwa faida ya thamani kubwa zaidi.

Pia ni jambo la kawaida kupata ushindi wa pamoja, ikiwa unaziunganisha katika mfululizo wa ushindi kadhaa kwa wakati mmoja.

Chini ya nguzo, utaona uwanja wa kubeti, na ndani yake vitufe vya kuongeza na kupunguza, ambavyo unaweza kutumia kubadilisha kiwango cha dau kwa kila mzunguko.

Chaguo la kucheza moja kwa moja linapatikana na unaweza kulianzisha unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100. Kabla ya kuanza kazi hii, weka kikomo kwa idadi ya hasara itakayopatikana.

Ikiwa unapenda mchezo wa kasi kidogo, unaweza kuanzisha mizunguko ya haraka kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa Turbo. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya nguzo.

Alama za mchezo wa Cotton Gang Affair

Linapokuja suala la alama za mchezo huu, malipo ya chini kabisa ni alama za kadi za kawaida: 9, 10, J, Q, K na A, huku Alama A ndio yenye thamani kubwa zaidi miongoni mwao.

Baada yao, hufuatia alama ya pipa lenye vinywaji na glasi, huku gramofoni ya zamani yenye spika kubwa ikileta malipo kidogo zaidi kati yao. Ikiwa unaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara tatu ya dau lako.

Gari la kifahari la zamani litakuletea malipo makubwa zaidi. Ikiwa unaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara nne ya dau lako.

Binti wa kike mwenye pambo kichwani ndiye alama ya msingi yenye thamani kubwa zaidi katika mchezo. Ikiwa unaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi utapata mara sita ya dau lako.

Bonasi za kipekee

Alama ya wild au kama ijulikanavyo jokeri inawakilishwa na kijana ambaye ni mmoja wa wanachama wa genge la kijambazi. Alama hii inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa scatter na husaidia kuunda ushindi.

Wakati huo huo, alama wild ni alama inayolipa zaidi, ikiwa unaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara kumi ya dau lako.

Alama hii huonekana kama alama ya 1×1 na kama Mega Wild ambayo inachukua nguzo nzima.

Alama ya 'Mega Wild' ionekanavyo kwenye sloti ya Cotton Gang Affair.
Alama ya Mega Wild

Alama ya Jokeri inaweza kuongeza vizidishio kwa alama fulani, na ikiwa zinashiriki katika ushindi vizidishio hivyo hujumlishwa. Thamani kubwa kabisa ya kizidishio ni x999. Vizidishio vingi kwenye mstari wa ushindi hujumuishwa pamoja.

Scatter inawakilishwa na nembo ya Free Spins na huonekana kwenye nguzo zote.

Alama ya scatter ikitokea kwenye nguzo ya kwanza, ya tatu na ya tano ndani ya sloti ya Cotton Gang Affair.
Scatter

Scatter tatu, nne au tano kwenye nguzo huleta mizunguko 10, 15 au 20 ya bure. Wakati wa mizunguko ya bure, Mega Wild hufanya kazi kama alama iliyoshikamana kwenye nguzo ya tatu.

Muenekano ya alama ya wild wakati wa mizunguko ya bure kwenye sloti ya Cotton Gang Affair
Mizunguko ya bure

Scatter mbili kwenye nguzo ya kwanza na ya tano huongeza mizunguko mitano ya bure.

Kiwango cha kurejesha ushindi kwa mchezaji(RTP) ni 95.93% kwenye sloti hii ya Cotton Gang Affair. Malipo ya juu kabisa ni mara x10,000 ya dau lako.

Ubunifu na sauti

Cotton Gang Affair imewekwa katika moja ya vilabu ambapo mgogoro wa genge unatokea. Muziki mzuri na sauti nzuri zipo kila unapojifurahisha.

Grafiki za mchezo huu ni za kuvutia na alama zote zinawakilishwa kiundani.

Jiunge kwenye kasino namba moja mtandaoni na ufurahie ushindi wa sloti ya Cotton Gang Affair.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here